Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Status
Not open for further replies.
Atakuwa aliingia kwa EQUIVALENT QUALIFICATIONS, Maana Direct Entry Applicants hawa Apply Kupitia NACTE,huwa wana pitia TCU, wale wa equivalents huwa ndiyo wanapitia NACTE,so yawezekana alikuwa na sifa za ziada
Nakubaliana na wewe mkuu ni kweli alikua na sifa ya ziada nayo ni kua BABA YAKE ALIKUA WAZIRI SERIKALINI.hii sifa wengi hawana.
 
Kaka yangu mpendwa,sijaona kwanini vijana wa sasa hivi mnaogopa MAJIBU yenu yakiwa kwenye board.Nina uhakika wanafunzi walikuwa wanasoma kwa bidii kuogopa kusakamwa uraiani.Na ninauhakika wa asilimia 100 sababu ni mmoja wa candidates wa kidato cha nne na kidato cha sita kuwekwa live kwenye board za shule na wizarani.

Simsemi JESCA au MWANAASHA bali tunahitaji wanafunzi wajipange,majibu tuyaone ili wanafunzi waache Ipod nyumbani waende shule kusoma.
Watoto wangapi wana ipods?

Tatizo la gadgets mashuleni, jamani watoto wa Tanzania wanaenda shule na njaa, hawana ada, miguu peku, hawana vitabu, we unaongelea ipods? Ndio maana mimi siwadhihaki waliofeli kwa sababu si wote wamefeli for luck of effort. Hamjui mazingira wanayosomea, hamjui kwa nini wamefeli. Kuwadhalilisha kwa kuwabandika ukutani haisadii, at least nobody knows it does.

There's not a single study that showed performance is stronger when results are exposed and poor students lampooned, that's just a blue sky assumption. Kubandika matokeo yao kwenye ma pages ya internet is the worst violation of academic privacy.

ndiyo sababu Mwalimu bado anapendwa sana na kuheshimiwa
That's right, hakuwahi kutumia lugha za shimoni Kariakoo kwenye mimbari za Ikulu. Mwalimu and the whole generation of his proteges in that era. Ndio ukapata wa kina Mwinyi. Benjamin Mkapa anatoka kwenye generation hiyo lakini alimshtua kila mtu, Mwalimu alipokufa tu akawa loose canon! Ndio anatukana kwenye majukwaa mpaka leo. Kikwete alichunga sana mdomo wake, japo ni mswahili asiyepitwa.

Magufuli anatoka kwenye generation ya leo ya wanaotukanana bungeni, huwezi kumbadilisha. Anatukana mpaka mwanae.
 
Sasa hilo la kutukanana mpaka Bungeni ni janga la Taifa maana kutukanana Bungeni kutafuata kushikana mashati na kurushiana ngumi bungeni na si ajabu siku za usoni hata baadhi kuingia na silaha Bungeni. Je, tunataka kuipeleka nchi huko? Lazima adhibitiwe Urais haumpi haki ya kurusha matusi au kuwadhalilisha baadhi ya Watanzania kwa mfano kuwaita vilaza. Lugha ya staha ni lazima idumishwe hata na yule aliye madarakani vinginevyo tutaichukia nchi yetu na kujenga chuki kubwa sana miongoni mwa raia.

Watoto wangapi wana ipods?

Tatizo la gadgets mashuleni, jamani watoto wa Tanzania wanaenda shule na njaa, hawana ada, miguu peku, hawana vitabu, we unaongelea ipods? Ndio maana mimi siwadhihaki waliofeli kwa sababu si wote wamefeli for luck of effort. Hamjui mazingira wanayosomea, hamjui kwa nini wamefeli. Kuwadhalilisha kwa kuwabandika ukutani haisadii, at least nobody knows it does.

There's not a single study that showed performance is stronger when results are exposed and poor students lampooned, that's just a blue sky assumption. Kubandika matokeo yao kwenye ma pages ya internet is the worst violation of academic privacy.

That's right, hakuwahi kutumia lugha za shimoni Kariakoo kwenye mimbari za Ikulu. Mwalimu and the whole generation of his proteges in that era. Ndio ukapata wa kina Mwinyi. Benjamin Mkapa anatoka kwenye generation hiyo lakini alimshtua kila mtu, Mwalimu alipokufa tu akawa loose canon! Ndio anatukana kwenye majukwaa mpaka leo. Kikwete alichunga sana mdomo wake, japo ni mswahili asiyepitwa.

Magufuli anatoka kwenye generation ya leo ya wanaotukanana bungeni, huwezi kumbadilisha. Anatukana mpaka mwanae.
 
Watoto wangapi wana ipods?

Tatizo la gadgets mashuleni, jamani watoto wa Tanzania wanaenda shule na njaa, hawana ada, miguu peku, hawana vitabu, we unaongelea ipods? Ndio maana mimi siwadhihaki waliofeli kwa sababu si wote wamefeli for luck of effort. Hamjui mazingira wanayosomea, hamjui kwa nini wamefeli. Kuwadhalilisha kwa kuwabandika ukutani haisadii, at least nobody knows it does.

There's not a single study that showed performance is stronger when results are exposed and poor students lampooned, that's just a blue sky assumption. Kubandika matokeo yao kwenye ma pages ya internet is the worst violation of academic privacy.

That's right, hakuwahi kutumia lugha za shimoni Kariakoo kwenye mimbari za Ikulu. Mwalimu and the whole generation of his proteges in that era. Ndio ukapata wa kina Mwinyi. Benjamin Mkapa anatoka kwenye generation hiyo lakini alimshtua kila mtu, Mwalimu alipokufa tu akawa loose canon! Ndio anatukana kwenye majukwaa mpaka leo. Kikwete alichunga sana mdomo wake, japo ni mswahili asiyepitwa.

Magufuli anatoka kwenye generation ya leo ya wanaotukanana bungeni, huwezi kumbadilisha. Anatukana mpaka mwanae.

Anheuser bila kuweka majina hadharani usahau watoto wetu kufanya vizuri.

Kwa Rais wetu bwana alimdhalilisha hadi mkewe,hivi kwa mwanaume wa kawaida utaongeaje hadharani mbele ya wageni wako na watoto wako eti Hawa wahisani wananifanya nisiweze kumgeuza geuza mke wangu.Niliishangaa sentensi hii
 
Baba jesica
 
yupo nasikia uko Arusha katimua wengine.
Ila mbona kama hii serikali imekuwa ya kinyamanyama? Huko mitaani kila mtu anasema Magufuli ameharibu, na hawa ni watu wadogo kabisa km wachuuxi, machinga na msma ntilie n.k.wnalalama maisha magumu pesa haionekani!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ila mbona kama hii serikali imekuwa ya kinyamanyama? Huko mitaani kila mtu anasema Magufuli ameharibu, na hawa ni watu wadogo kabisa km wachuuxi, machinga na msma ntilie n.k.wnalalama maisha magumu pesa haionekani!
wacha waisome namba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom