Chuki nyengine bwana mnaboa halafu mnasema waislamu tunapenda udini....Jiheshimuni mnaokuwa na akili za namna hiiBado wakati wao.
Chuki nyengine bwana mnaboa halafu mnasema waislamu tunapenda udini....Jiheshimuni mnaokuwa na akili za namna hiiBado wakati wao.
Hata hii kama ni kweli, ina harufu ya ufisadi. Acha tusikie wengine watakaokuja na utetezi. Lugumi si inashughulikiwa na kamati ya bunge?[/QUOT
Hivi ya mtoto wa mkuu inashughulikiwa na kamati ipi?
sasaje, nyani haoni kundule!Mtoto wa Kapuku ndio KILAZA na hafai kusoma special Diploma, lakini mtoto wa kiongozi ni "failure by accident" na anastahili kusoma degree course.
Kidato cha sita asingedahiliwa na NACTE angedahiliwa na TCUKimahesabu kama alijiunga na kidato cha tano shule binafsi huku akiwa anarisiti mtihani wa kidato cha nne hiyo inawezekana kabisa!! Labda tutafute matokeo yake ya kidato cha sita.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Naomba ufafanuzi kuhusu huu mfumo, na ni kwanini basi wanafunzi wasi opt njia hii kuliko kuzunguka certificate, diploma then degreeAnaweza pia mtu akasoma professional course (certificate) mwaka mmoja then akasoma foundation course mwaka mmoja baada ya hapo anaruhusiwa kuomba shahada ya kwanza chuo kikuu.
Inawezekana hata huyu akawa kapitia mfumo huu, na ni mfumo uliopo na unatumika na TCU na NACTE
ila haimuondolei ukilaza maana ana vidddAnaweza pia mtu akasoma professional course (certificate) mwaka mmoja then akasoma foundation course mwaka mmoja baada ya hapo anaruhusiwa kuomba shahada ya kwanza chuo kikuu.
Inawezekana hata huyu akawa kapitia mfumo huu, na ni mfumo uliopo na unatumika na TCU na NACTE
Anasoma vizuri na kufaulu. Huu usomji wa muhula na kufanya mtihani kisha unakusanya wastani wa pointi. Anaweka hata kutoka na daraja la kwanza la chini hata juu.Mkuu unamjuaje mwanafunzi ana uwezo wa astashahada, yaani kabisa mwanafunzi aliyepata div 4 ya 30 asome diploma
Unaelewa mada iliopo mezani! Au ndio mahaba niuwe?Mwalimu Nyerere alisema "mtu kusema mambo yanayofanyika na kuendelea nchini lazima huwe na kichwa cha mwendawazimu" haya mambo yalikuwepo mda atukupata mtu jasili anayependa nchi yake na aliyejitolea hata kufa kwa ajili ya nchi yake. Magufuli kaza buti hii inchi watu wachache ni ndumila kuwili wengi tuko nyuma yako
Huyo Jesca ni wake kweli? Au watu wanamzushia?