Mtoto wa Lowassa, Robert Lowassa (Bob) afunga ndoa leo na Stephanie Kaaya (Steph)

Daah wale mademu wa pale East Africa Hotel kwa sasa(Gold crest) watakua wanasikitika kichizi kumuona mwana ameoa.
 
Aliwekeza sana kwenye aridhi, inasemekana alikuwa amenunua aridhi south, na alikuwa na mgogoro kesi iko mahakamani na alikuwa ukingoni ashinde, wambea wanasema walivyojua yupo hospital, wakafanya yao. Mlinzi wake wakati anaingia chumbani alikuta hayupo. Ndo kuskia kelele kuwa kajirusha.kutoka gorofa ya tatu.
Alivyokuwa mayai sana hata angetoka gorofa ya kwanza angekufa. Alikuwa mayai mpaka chupa ya Maji anafunguliwaile team yake alokuwa akitembea nayo kila mtu alikuwa na kazi yake in short aliishe maisha mafupi lakini mazuri sana. tulimuenjoy sana ni kucheka mwanzo mwisho. Ila alikuwa genius balaa.

Wosia wake ndio uliniacha hoi.mahali atakapo zikwa. Wachaga walibaki mdomo wazi ilibidi wasafiri kumzika huko Kenya, tena kwenye makaburi ya nzengo. Achilia mbali mipesa yote alikuwa nayo. Rip mawala.
Wazazi wake(Mawalla Snr) waligoma kwenda kumzikia Nairobi kama wosia wake ulivyosema.
 
Kweli umenikumbusha walienda ndugu wachache, wengi walienda marafiki na wafanyakazi wake na wanafunzi wake.
Na bahati mbaya Mzee wake nae alishavuta sijui kama hata alikuja ku-reconcile au mpk mwisho alisusa.

Kuna mshkaji/mfanyakazi wake alikua anaitwa Remmy sijui yuko wapi siku hizi?

Nyaga aliishi maisha yake to the fullest,kuna mtu humu jf alisema Nyaga na Sambeke wote money laundering ndio iliwamaliza though am not sure.

Dingi ake alikua analalamika sana mienendo ya Nyaga/madeal yake anayofanya(alishawauziaga mpk Brela software feki kwa 800mil,hahah) alikua vzr kwny hesabu za pesa.
 
Hata mm niliskia hivyo hiyo ya brela ilivuma sana.
Walikuwa wanajua kuisaka pesa.

Miaka imepita all in all boss akishakufa administration lazima iyumbe na Mara zote marehemu anaendaga na Mali zake. mawala akiwa hai hizo sekeseke hazikuwepo.

Ngereja alikuwa smart atakuwa alijifunza mengi kutoka kwa boss wake.
 
Ahaaa kumbe ile team alokuwa akitembea nayo sio bure😁 kuna wa kumshikia notebook, kuna wa kumfungulia Maji, kuna wa kuotoka kalamu ikidondoka😀 kuna wa kumshikia koti😁 kuna wa kumfungulia mlango.etc hao wote anasafiri nao, wakifika wanaketi bench ya nyuma na vi suti vyao kama wahudumu wa hotel,😁😁na michuchumio yao.😂yaan kidada kikitoka kule nyuma kuja mbele kumfungulia Maji,😁 ni full attention😂😂hatupumui😀
wote wale hakuna aliebaki salama, aliwavua zile suti balaa. Yaani ilikuwa mdada ukienda ofisini kama uko vizuri wakikuona wanagongana maskini wanakua wapole balaa yaani wanaona bosi anaondoka huyu, haahaaaa! kuna dada mmoja alikuwa na mchumba kabisa kijana wa Benki moja maarufu jijini Arusha, dada akakutana na Mawalla akamkataa mchumba akajiona kaopoa tajiri, yaliyojiri yalifurahisha.........aliachwa kurudi jamaa nae avuta mwingine fasta, alibaki mkiwa.
 
Angekuwa bado upande wa pili kama enzi zile, wazee wa ntimanyongo wange mwambia sehemu hii ya sherehe imechukuliwa kwa shughuli maalumu kwa awamu hii nzima.

Anyway kimfaacho mtu ndio chake.
sehemu ni mali ya mzee sio ya kukodisha, labda wangemnyang'anya kabisa sio kuzuia sherehe.
 
wote wale hakuna aliebaki salama, aliwavua zile suti balaa. Yaani ilikuwa mdada ukienda ofisini kama uko vizuri wakikuona wanagongana maskini wanakua wapole balaa yaani wanaona bosi anaondoka huyu, haahaaaa! kuna dada mmoja alikuwa na mchumba kabisa kijana wa Benki moja maarufu jijini Arusha, dada akakutana na Mawalla akamkataa mchumba akajiona kaopoa tajiri, yaliyojiri yalifurahisha.........aliachwa kurudi jamaa nae avuta mwingine fasta, alibaki mkiwa.
Kwa wakati ule sisi tulikuwa wadogo kiasi ila jinsi alivyokuwa Dada zetu kumkataa inabidi uwe na moyo wa chuma unless uwe ushaskia taarifa zake.😀😀😀😀 kuna wenzetu walianza kujigonga kwake dah .tunawazoom, mm nilichokuwa navutiwa kwake ni uwezo wake wa kujua mambo mengi real life, ana exposure vitu vingine, anakufundisha mbinu za kutafuta hela etc. Otherwise nilimuona kama wanaume wengine wanaojitbua.
 
Back
Top Bottom