SoC04 Mtoto wa kiume

Tanzania Tuitakayo competition threads

ogila

New Member
Jun 17, 2024
1
0
Jamii za kiafrika Zina matarajio mengi kutoka kwa mtoto wa kiume. Mtoto wa kiume anategemewa kwa asilimia kubwa kulea familia, mke, watoto, wazazi na hata wajomba n k.

Huyu huyu mtoto wa kiume ananyimwa fursa nyingi za elimu , ajira, n.k. fursa ambazo kwa kipindi hiki tunaona zikielekezwa zaidi kwa mtoto wa kike.

Hili linapelekea frustrations kubwa miongoni mwa vijana na wanaume wengi ambao wanatarajiwa kuwa vichwa vya familia.

Pamoja na kumtetea mtoto wa kike, mtoto wa kiume asisahaulike tunawapoteza sana hawa vijana kwa kuwakatisha tamaa ambapo wengi wanajikuta kwenye vikundi vya uhalifu, madawa ya kulevya, ushoga n.k. kwa kukosa fursa ambazo nyingi sasa kila Kona mtoto wa kike anapoewa nafasi ya kwanza .

Tumejisahau sana .....
 
Back
Top Bottom