Nilokuwa nimesafiri kwenda
kijijini kwetu. Mtandao ulikuwa haupatikani. Leo nimeingia kwenye jiji
la mihangaiko.
Nadhani mtakumbuka mashariti ya wazazi wa mtoto wa kitusi yalivyo
nishinda na kuamua kumwaga manyanga.
Wiki iliyopita alikuja nyumbani kwetu kijijini akiwa na baba yake. Aise
mtoto kapungua kabisa!! Aliponiona alimwaga machozi na kunikimbilia.
Kwaufupi wameomba msamaha na kusema hayo yote waliyoyasema hayatakaa
yatokee. Sikuwajibu chochote na tunategemea mwezi ujao tukakutane kwenye
kikao na wazazi wangu.
Wana jf nifanye nn sasa hapa?
Hii ni moja ya ID ambayo moderators wanapaswa kuichunguza...
Mark my words!!!
Utasumbuka sana kufuatilia watu ndugu yangu. Ishi kwa amani acha kujiona wewe ni mwema kuliko wote.
Sijui unajifikiriaje kujiona wewe ID yako ni bora kuliko ya wengine?
Unamatatizo gani? Freedom of you heart will set you free.
Usijione bora kuliko wenzako. Plz nakuheshi japo kuwa sikujui.
I new it utakuja na ngojera hizi.
bora tangawizi, hii imewekwa pilipili mangaChai ya maziwa..... ilotiwa tangawizi
mnafanana muendelezo wa macrash, mi na wewe hatufanani....Kwanini kasinde sio wewe?