Mtoto wa kike kupanga nyumba

Mtoto wa kike kupanga nyumba

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Sasa hivi kuna trend kubwa ya wasichana ambao kidogo unakuta wamejaaliwa kupata walau kipato cha kawaida tu na kuamua kutoka nyumbani kwao kwenda kupanga chumba.....

Je hili mnalionajae liko sawa au sio sawa?....

Wazazi wengine wanaamini kuwa hata kama binti amejaaliwa kupata kazi basi akae kwao mpaka mungu atakapojaalia kumpa mwenza wa ndoa....


Unasemaje kaka, dada, mjomba, baba au mama juu ya hili???
 
Umeanzisha hii mada mara 2.
Kumbe ile I'd ni yako?

Cc @mdengereko
 
mzazi anapaswa kumchunguza na kufaham msimamo,nia ya binti kuamua kwenda kupanga.kikubwa zaidi ni msimamo
 
Back
Top Bottom