St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,637
- 4,521
Kuna siku polisi wawili wa kiTZ katika matembezi yao waliokota mtoto wa mwezi mmoja mwenye sura ya kichina.Wakashauriana nini cha kufanya na kupata jibu.Kesho yake asubuhi wakaenda kwenye chuo kimoja kinachotoa mafunzo ya lugha mbalimbali na mahojiano yalikuwa hivi:
polisi; tunahitaji kujifunza lugha ya kichina.
Mwalimu:kwa nini mmeamua kujifunza kichina.
Polisi: tumeokota mtoto wa kichina hivyo tunataka akianza kuongea tuweze kumuelewa anachosema.
polisi; tunahitaji kujifunza lugha ya kichina.
Mwalimu:kwa nini mmeamua kujifunza kichina.
Polisi: tumeokota mtoto wa kichina hivyo tunataka akianza kuongea tuweze kumuelewa anachosema.