Mtoto wa Kiarabu

Mtoto wa Kiarabu

Nauli yako tu hadi syria/lebanoon utawapata.Anzia facebook. ya Arabia
Wakubwa Shikamooni wadogo Habari zenu.

Ningependa leo niseme ukweli wangu kabla sijaenda kuzimu.

Cha mno nilichonacho ndani ya moyo wangu ni kuoa mke mwenye asili ya uarabu.namaanisha asiwe mwanamke mweupe.

Najua wengine mtanisema vibaya ila hizo ni ndoto zangu.

Tafadhali kama kuna mtu mwenye hivo vigezo aupoze moyo wangu.
Wasalam.
 
Nenda Muhoro, Kilosa na Shinyanga, wako wa kutosha. Ukishindwa huko, nenda Syria, Wapo kibao tu hawana wa kuwarescue na machafuko.
 
Mimi nataka mdigo nimuonje nasikia wanajua mambo sana,wasambaa wazigua na wabonndei hamajui lolote.kama kuna wadigo sehemu tuelekezane wakuu.
 
Endela kulala uote, ukiamka usisahau kutupa mrejesho
 
Kweli kazi unawaza kuoa mwarabu hapo ndo utaona utofauti ya waafrika na wazungu
 
Back
Top Bottom