Mtoto wa JK aula Etihad Airways

View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....

View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.

View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)

Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.

NB:Isionekane nina wivu
Maneno mengi ya nini? Tunachojua sisi dogo yupo etihad ..
 
Uwingi ni relative,waelewa wamenielewa...hata mimi sijabisha kwamba hayupo Etihad!!Kuna mahali imebishiwa??
 
A long time no see your comment Nigga but i appreciate you in deed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila sisi waTz tumerogwa aisee...Hawa jamaa wametuharibia mitaala yetu wanafunzi wanamaliza hawana ujuzi wowote, wameharibu soko la ajira hakuna ajira, watoto wetu wanasoma elimu mbovu wanamaliza wanakuwa mizigo manyumbani wakati wao wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa hela wanazotuibia na kuwaandalia mabiashara wanayofungua kwa hela za kodi yetu na bado sisi wananchi tukiona watoto wao waliosomeshwa kwa hela tulizoibiwa tunawapigia makofi na kuwachekea..Hongera sana.
 
Wananchi watanzania tuko poapoa sana wakati viongozi hawa tulionao walikuwa niwakupigwa mawe mitaani wakikatiza.
 
Thumbs up!tunaolalamika tupunguze uchungu,Kuna vitu inabidi tulaumu Wazazi wetu na sisi tusifanye makosa kwa watoto wetu.
 
ila sisi waTz tumerogwa aisee...Hawa jamaa wametuharibia mitaala yetu wanafunzi wanamaliza hawana ujuzi wowote, wameharibu soko la ajira hakuna ajira, watoto wetu wanasoma elimu mbovu wanamaliza wanakuwa mizigo manyumbani wakati wao wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa hela wanazotuibia na kuwaandalia mabiashara wanayofungua kwa hela za kodi yetu na bado sisi wananchi tukiona watoto wao waliosomeshwa kwa hela tulizoibiwa tunawapigia makofi na kuwachekea..Hongera sana.
Umesema kweli tupu! Majizi makubwa Sana hawa!
 
View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....

View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.

View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)

Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo gharama. Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani. Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminal one, vijana wengi waliishia kidato cha nne, sababu baba zao wana pesa, wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani, sema ile sio familia ya facebook na Instagram.

NB: Isionekane nina wivu
Siyo "kaajiliwa", kaajiriwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom