Hongera sana Dr. Salama. She is a descent lady!!! Hongera pia kwa kuweza kumaliza salama hasa kwa kipindi cha mwisho ambacho umekuwa ukilea mwanao mchanga(mjukuu wetu). Kwa yo yo, she is beatful but she is engaged!!!!! Mkwe wetu alikuwa mkristu ilibidi asilimu!!!!! Mfanyabiashara wetu kule........!!!!
Kwa upande mwingine, JK ameonyesha mfano halisi wa uzalendo. Na kam wataenda nje kusomea masters or PhD ni sawa tu kama ambavyo wengine tumefanya hivyo. After all, nafasi ya baba yake kama Rais inaruhusu pia watoto wake wapate exposure, ni jaki yake hata ingekuwa mimi ni Rais ningefanya hivyo. Kwa hiyo sioni hili la kuwapeleka watoto nje kama Rais linahitaji mjadala!!! Pia watoto wake si vilaza,, wana uwezo wa kimasomo hata kama si top vipanga but they are not dully. Hongereni watoto wa mkuu wetu. Salma pia namsifu kwa kuwalea watoto hawa 2 (Riz na Salama) na wote kuweza kufanikiwa kimasomo. Hongera sana mama Salma kwani kulingana na majukumu ya mumeo tangu akiwa waziri basi jukumu la kufuatilia misingi bora ya shule ya watoto wote ulichukua wewe na ukweli wamejitahidi. Unajua tena mambo ya kufuatilia homework, mikutano ya shule, ada, ripoti za hapa na pale, n.k kazi hii kubwa imeachiwa akina mama, japo kwa siku hizi a few a men wanafuatilia maendeleo ya shule za watoto wao.
kusomesha watoto bongo sio uzalendo wala nini, utakuta ata hao watoto ni jitihada zao wenyewe, hongera wape watoto wake sio yeye
Huyo Mkwe wenu alisilimu kwa kumuogopa Kikwete nini? Duuuuh! I always believe hata uwe maskini vipi, the only thing that u've ni IMANI, ambayo mmeichukua kwa huyo jamaa! He's nothing aiseeeee! Bora mie msalia chini ya miti!
mheshmiwa kwani ukibadili imani unakuwa huna imani?ama uislamu ndio sio imani??
Hivi ukimaliza Muhimbili Degree tayari unakuwa Doctor?Hongera sana Dr. Salama. She is a descent lady!!! Hongera pia kwa kuweza kumaliza salama hasa kwa kipindi cha mwisho ambacho umekuwa ukilea mwanao mchanga(mjukuu wetu). Kwa yo yo, she is beatful but she is engaged!!!!! Mkwe wetu alikuwa mkristu ilibidi asilimu!!!!! Mfanyabiashara wetu kule........!!!!
Kweli Salama anastahili pongezi sana tu na kumshukuru sana muumba wake kwa kuwa alipofikia na mtoto wa mwenye nchi pia, ilikuonyesha uzalendo wa kweli usiokuwa na kaunafiki itakuwa vizuri sana kama atapangiwa kazi Ileje kulee.... mlimani kituo cha afya hakina umeme, maji ni yakisima magari hayafiki (labda yatembee kiupande-upande) na hiyo kazi aikubali na tutangaziwe tena kuwa kweli JMK mzalendo, kamruhusu mwanae kwenda kule!!
JK ni mzalendo wa kiukweli maana hata yule wa kwanza amemaliza sheria UDSM.
Zaidi ya uzalendo watoto ni uthibitisho degree ya JK ya UDSM ni ya kiukweli.kuna viongozi wana degree za kupewa too, utawajua maana machoni wanaonekana wajinga wajinga.
Waziri wa Afya in the making? Sitashangaa nikiskia yuko BOT pia!
Kamtaji kangu naona nikatumie kufungua dental surgery kwa kuwa wabongo ninavyowajua nitawapata kwa sana nikimuajiri huyu binti, nani asiyetaka kung'olewa jino na binti wa Rais?
Yes She is. Masha-llah.Is she married?,beautiful?
Huyu atakuja pewa uwaziri na Rais to be elected 2015 - Bernard Membe, kama shukrani ya baba yake kumuibua Membe. Dr. Hussein Mwinyi nae alimaliza hapo hapo ona leo alipofika. Ndiyo maana Mzee Mwinyi anacheeeeka, maana anajua few years ago nae alitoa shada la maua kama hilo hapo hapo MUHAS , former MUCHS
Naona mitazamo tofauti hapa kila mtu na lake.Sawa nani anastahili pongezi mtoto au wazazi?
Huyu atakuja pewa uwaziri na Rais to be elected 2015 - Bernard Membe, kama shukrani ya baba yake kumuibua Membe. Dr. Hussein Mwinyi nae alimaliza hapo hapo ona leo alipofika. Ndiyo maana Mzee Mwinyi anacheeeeka, maana anajua few years ago nae alitoa shada la maua kama hilo hapo hapo MUHAS , former MUCHS