Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 749
- 597
Habari,
Kama juzi kati mliona ilikuwa inavuma sana mitandaoni baada ya Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kuweza kuibuka kinara Africa Mashariki na Africa ya Kati kwa kuwapiku vyuo vikubwa ikiwemo Chuo Kikuu cha Nairobi, Kenya na Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaaam (UDSM).
Vilevile Chuo cha Muhimbili kiwefanikiwa kuwa namba 401 kwa ubora kati ya vyuo vikuu 20,000 (elfu Ishirini) vilivyopo Dunia nzima. Chuo cha Muhimbili kinapatikana Upanga, Wilaya ya Ilala Dar-es-salaaam. Na Takwimu hizo zimetolewa na tovuti kubwa duniani ya kutoa takwimu ya vyuo vikuu Iitwayo Times Higher Education ambapo;
~Muhimbili University 401
~ University of Nairobi 601
~ Makerere University 801
~ University Of Dar-es-Salaam (UDSM) 1501
Ubora wa Chuo cha muhimbili umetokana na kuongezeka kwa tafiti za wanafunzi na wahadhiri kuongezeka kwa nukuu pamoja na ufundishaji.
Ma3stro De Quimica !!!OP
View attachment 2394438