Mtoto wa Diamond na kitu cheusi mkononi..

watoto wengi sana huvalishwa nini kinachokutia mashaka mkuu
 
Watu wakigoma wanaimani hizo sana nliwahi safiri kwa gari hadi kigoma watoto wote kwenye hilo gari walikuwa wamefungwa kiuzi cheusi mkononi na kiunoni hadi leo sikuwahi kujua ina maana gani
 
Ni imani mbovu tu,hazina chochote Hizo mihirizi.
 
Kwenye family yetu hatujawahi kuvishwa hirizi wala vitambaa vyeusi ila tumekua vzuri tu. Imani nyingine bwana only God can protect
 
Hiyo ni hirizi. Ni imani za kichawi na kishirikina kabisa. Wapo watanzania wengi sana bado wapo kwenye hizo imani za hirizi, kuchanjwa chale, Kutambika, kuamini nyota nk, halafu utawakuta mitaani, misikitini, Makanisani, Mitandaoni wakisema wanachukia uchawi sana, wanaogopa Freemason, hawajawahi kwenda kwa waganga nk.
 
Unaacha kujiuliza maswali kuhusu familia yako unauliza habari za watu zinakuhusu nini!
 
Hirizi haina msaada, ona Ndaw wa Simba na hilo bonge la hirizi na ametemwa.
 
Humo huwa wanaweka kitovu cha mtoto kinapodondoka kinawekwa humo na vidawa vya asili ni kinga kwa mtoto kutokana na imani ya MTU ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…