Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,305
- 8,655
Amina ndugu yangu!Inshallah, Allah akujaalie hitaji la moyo wako
Amina ndugu yangu!Inshallah, Allah akujaalie hitaji la moyo wako
Mbona yeye mwenyewe alisikika live akiwauliza wateule wake wanaofanya sherehe kwenye teuzi kama walisikia popote wakati mtoto wake mwenyewe alipofunga ndoa.Ilikuwa harusi ya mtoto yupi wa jpm? Maana ana watoto 3 au 4 hivi?
Heshima pesa shikamoo makelele tu, afu mkuu huyo kimei ni nani?
Aisee kumbe ndio wwkisa ashoooong loool...
Weee sio mimi AshooongAisee kumbe ndio ww
😁😁😁 umenikumbusha kiduku lilo. Chalii kaona 60m bonge la namba. Kuna vijana wanazungusha 600m mpaka B hapa town af wako kimya tu.Hata hizo 60m unakuta kahesabia na nyumba ya baba yake. Afisa mikopo alipomuona dogo anavyojieleza na kiduku chake huku anachat kwenye groups za WhatsApp akaona isiwe tabu
😃 nipo hapa sakala mwenzionaomba masikini wa JF tutambuane ili tuwe tunapeana faraja
Ndio wewe bhana nilikuona juzi na mgari wako mkubwaaa umevaa mawani tintedWeee sio mimi Ashooong
Kwa hizo tatu au na nyuma yake zipo nyingineNaiona Billion kabisa katika hicho kilinge cha VX V8's
Zote 6 hapoKwa hizo tatu au na nyuma yake zipo nyingine
Mzee EB ntaftie kagari ka laki mojaZote 6 hapo
Hahahah ako utakapata Mlimani City bila shaka. Tembelea mashelf ya ToysMzee EB ntaftie kagari ka laki moja
Hata balloon mbov sipat?H
Hahahah ako utakapata Mlimani City bila shaka. Tembelea mashelf ya Toys
Hakuna benki yoyote hapa tz inakopesha zaidi 50% ya mtaji halisi wa mwombaji.Ungekuwa na akili wasingekunyima hizo 100m. Wewe unafikiri ukiwa na kamtaji kako ka 60m ndio tiketi ya kupewa 100m. Kuna taratibu kama unajiona una akili timiza utapewa hio hela au ungekuwa na akili zaidi ungekuza kimtaji chako.
Tuache utani mademu wanapiga mizinga hadi kichomi aisee sijui tatizo ni nnKwa hizo tatu au na nyuma yake zipo nyingine
Kinachokopa si dhamana Bali flow ya cash kwa mkopaji (kupitia mshahara/biashara).Hakuna benki yoyote hapa tz inakopesha zaidi 50% ya mtaji halisi wa mwombaji.
Hii ni kwa mujibu wa sheria za kibenki from BOT, na sio porojo.
Dhamana haiwez kua guarantee ya mwombaji kupata mkopo.
Hata kama ingekua na thamani zaid 90% ya mkopo ulioombwa.
Kwa maana,
Lengo LA benki kukopesha ni kupata faida endelevu kupitia riba anayotozwa mteja Mara kwa mara.
Na sio kumfilisi mteja.
Thanks RRONDO kwa mchango wako.
orodhesha ulivyo navyo niamini kama wewe ni sakala mwenzangu😃 nipo hapa sakala mwenzio
wakati bado haujafika,ukifika watajitokeza mmoja mmojaHakuna mwanaJF anaetaka kujulikana ni masikini! WanajF wote ni Wakuu, maboss na makamanda. Utasubiri sana