Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa jijini dar... Kweli mjini pesa shkamoo kelele....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
12,178
Points
2,000

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
12,178 2,000
Sikupingi mkuu, asilimia kubwa ya employees wa charlie romeo delta bravo ni kina meko
Mimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
 

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
5,234
Points
2,000

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
5,234 2,000
Mimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Kwa akili kama hizi huwezi kupata kazi pale CRDB.... Pole sana ndugu
 

BabuMwerevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Messages
416
Points
500

BabuMwerevu

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2017
416 500
Sikupingi mkuu, asilimia kubwa ya employees wa charlie romeo delta bravo ni kina meko
Hili ni eneo lenye asili ya watu wanaojua utawala wa kitu fedha ndio maana angalia hata asilimia kubwa ya waliowahi kuwa mawaziri wa fedha ni wa eneo hilo
 

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
14,807
Points
2,000

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
14,807 2,000
Naomba uendelee kutu update na ukumbini maana sie tulio mbali na upeo wa jiji la daisaama tutashiba kwa macho na wikiendi kuwa murua kabisa.

Hongera kwa wazazi na kijana, binti muolewaji ajiandae kisaikolojia kuishi kwenye ndoa na si kupanga na kudhibiti mali alizonazo mumewe au kumdhibiti mumewe au kumpangia arudi saa ngapi nyumbani.

Mweeh nyege hizi,Hata sijui nimeandika nini wakati.....

Nawatakia maharusi Mahaba telee.
 

Forum statistics

Threads 1,343,409
Members 515,033
Posts 32,783,815
Top