Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,157
- 10,655
Kamati ya roho mbaya naona mnajiwakilishaHizi ndoa za namna hii huwa na nuksi kwani hazidumu sijui kwanini!!! Nakumbuka huka nyuma kulikuwa na ndoa moja kati ya mtoto wa katibu Mkuu wa Rais wa wakati huo na mtoto wa waziri mmoja mstaafu; Ilikuwa ndoa ya shamra shamra na gharama kubwa kama hii lakini kwa basait mbaya haikuchukua hata miezi sita wakakorofishana dio ikawa bye bye wakagawana mbao!!!! Nawatakia kila lililojema hawa vijana wawili wasipatwe na balaa kama hilo!!!