Mtoto wa Bebeto, sasa ana miaka 20

Mtoto wa Bebeto, sasa ana miaka 20

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Unakumbuka hili goli la Bebeto? Alishangilia kwa ajili ya Mtoto wake aliyekuwa ndiyo kazaliwa.



940653-15523723-640-360.jpg
atP9.jpg


Leo hii, Dogo kawa Baba mzima. Kweli miaka inakwenda, lohhh.....

Bebeto.jpg
 
Last edited by a moderator:
mkuu huu ushangiliaji mbona kama haujafikisha miaka 20 bebeto alishangilia goli kwa style hii 98!
 
Mkuu, hata mie sikuamini. Ila Kijana aliheshangiliwa na Baba yake kwenye kombe la dunia ndiyo huyooooo.....

Miaka 20 ndiyo imepita hiyo. Kama utani vile, goal morning America.....

mkuu huu ushangiliaji mbona kama haujafikisha miaka 20 bebeto alishangilia goli kwa style hii 98!
 
Safi sana jamani wenzetu wana msingi mzuri sana mi nilipotaka kukataa shule ili nicheze mpira nilihamishiwa mkoani ili nisome.
 
Safi sana jamani wenzetu wana msingi mzuri sana mi nilipotaka kukataa shule ili nicheze mpira nilihamishiwa mkoani ili nisome.

wazazi/walezi wako walifanya uamuzi sahihi sana juu yako.washukuru
 
Back
Top Bottom