Mtoto wa Beach

Kifuniko

Member
May 20, 2011
97
17
Natafuta mtoto wa kwenda nae beach weekend hii, awe anajua kuogelea na matumizi yake yasizidi milioni moja kwa siku 2
 
hiyo 1 mil unanipa mimi kama asante kwa kukupa raha au ndio ya kugongea menu?
 
Natafuta mtoto wa kwenda nae beach weekend hii, awe anajua kuogelea na matumizi yake yasizidi milioni moja kwa siku 2
.
We kifuniko chupa zipo wazi kazifunike unafanya nini humu Jf. Isitoshe humu Jf hamna watoto, wapo shule.
 
hivi wewe ni kifuniko cha nini?...isije ikawa kile cha maji ya kutoka naniii....au kifuniko cha DENGELUA...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom