Mtoto wa Assad wa miaka 11 awakejeli wamerekani.

Mtoto wa Assad wa miaka 11 awakejeli wamerekani.

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
40,393
Reaction score
33,569
''i just want them to attack soo much,because i want them to make the mistake of beginning something that they dont know the end of it....
''no one has soldier like the one we do in syria.,America doesnt have soldier,what they have is some coward with new technology....
For more detail.
http://world.time.com/2013/08/30/did-bashar-assads-11-year-old-son-taunt-the-us-military/?iid=gs-article-mostpop2
 
kubeza nguvu ya marekani ni upuuzi tu!

huyo mtoto atulie ngoma hii si ya kitoto......hata hivyo si busara kwa mmarekani kuishambulia kijeshi Syria.
 
Dogo hajui nguvu ya MOAB yaani Mother Of All Bombs..... Inatisha kama Uyoga ila halina madhara ya Uyoga (Nyukilia).

3030192724_33e89e6361.jpg
 
Dogo atajuta ajiu alichosema amuulize baba yake Mkubwa Sadam
 
kubeza nguvu ya marekani ni upuuzi tu!

huyo mtoto atulie ngoma hii si ya kitoto......hata hivyo si busara kwa mmarekani kuishambulia kijeshi Syria.
mimi kilichonifurahisha ni hizo comment za wamerekani kwenye link ya gazeti la time,kumbuka huyo kijana ni mtoto wa miaka 11.
 
Dogo hajui nguvu ya MOAB yaani Mother Of All Bombs..... Inatisha kama Uyoga ila halina madhara ya Uyoga (Nyukilia).

3030192724_33e89e6361.jpg

Nilifikiri anaemiliki silaha za maangamizi anahitaji kuadabishwa! Isipokuwa nchi ambayo imeshatumia sana hizo silaha, US. WMD, WMD
 
Swahili Saying'Son of snake is snake'
 
Dogo hajui nguvu ya MOAB yaani Mother Of All Bombs..... Inatisha kama Uyoga ila halina madhara ya Uyoga (Nyukilia).

3030192724_33e89e6361.jpg

lina madhara makubwa kiasi gani hili dude....
 
USA ni Big Brother, tumpende au tusimpende. Ndiyo kashika usalama wa Dunia ya leo hii.

Amini usiamini kuwa, kama USA leo atapotea kwenye Ramani ya dunia, basi dunia yetu itakuwa uwanja wa vita.

Sidhani kama tutamaliza hata Wiki moja kabla hatujaiangamiza wenyewe dunia hii. Kumbuka hata vita ya pili ya dunia, kama siyo USA kuingilia kati, Moto ungeliwaka kwa muda mrefu maana ilishaingia hata Africa. Walipoingia tu jamaa, Hitler na Wajapan wakaanza kutembezewa kichapo. Russia sidhani kama angeliweza kupigana hadi na Mjapan.
Nilifikiri anaemiliki silaha za maangamizi anahitaji kuadabishwa! Isipokuwa nchi ambayo imeshatumia sana hizo silaha, US. WMD, WMD
 
asamehewe huyo mtoto! au amuulize mtoto wa mbagala aliyekojolea kitabu cha jirani zetu, nini kiliwapata wakubwa zake!
 
Last edited by a moderator:

I met this dude once in MD. He is the same dude never changed his venomous spew against USA, nilimuuliza, kwanini asiende Urabuni akaishi kule, he never answer(ed) me. LF ni kama Shehe/Ustaadh ILUNGA.

Ulimhubiria neno pia? Ile ya Baba ni Mungu, Mtoto ni Mungu, Msukule(Mzimu)Holy Ghost? ni Mungu. Sio Mungu tatu ni Mungu moja tu!

Max, habari bro?
 
Ulimhubiria neno pia? Ile ya Baba ni Mungu, Mtoto ni Mungu, Msukule(Mzimu)Holy Ghost? ni Mungu. Sio Mungu tatu ni Mungu moja tu!

Max, habari bro?

He knows me by my "name" ukiweza kamuuliza, kwanini mpaka hii leo amegoma kunijibu. Muulize tena vipi wale vijana wake wa kule "upstate" akina Tanzel, et al, Bado ni wafuasi wake au wamesha batizwa na Max Shimba. Ndio utaelewa tofauti ya KWELI na UKWELI.

Sasa Muuliza Allah wako, anaelewa hii LOGIC.

trinity.png
 
Mkuu,

Ndiyo maana nikakuambia TUMPENDE au TUSIMPENDE. Hata mie nina uchungu sana na UBABE wa USA na labda hata zaidi yako. Ila mwisho wa siku, Marais Vichaa na Mataifa kichaa kama India vs Pakistan, wanaweza kulianzisha muda wowote ule ila hawawezi kufanya hivyo kwa kujua USA yupo.

Israel wataanza palepale kwa kuotesha Uyoga nchini Iran, Japan na South Korea watalianzisha palepale na North Korea, Mchina atalipiza kisasi chake kwa Mjapan. Mturuki atataka kubadilisha serikali ya Syria kwa nguvu huku Russia akigoma na hapo litazuka kati ya Turky vs Russia. Kenya wataingia na kuisawazisha Somalia ili wasisumbuliwe tena etc etc.

Wote hao wanasita kwa kufahamu kuwa USA itawadhibiti. Wao kama TAIFA kubwa, lazima wahakikishe Biashara zao zinakwenda vizuri. Ukiwagomea, unajua watakufanya nini. Ila Obama ni mtu tofauti sana na waliotangulia. Ndiyo maana kwa mfano Bibi Netanyahu hampendi kabisa kwa sababu alimgomea kuishambulia IRAN.

Wanyonge siku zote wana shida. Hata hapa Tanzania tu, waangalie Wana Mtwara na gas yao walivyopata kipigo. Muone Dr. Ulimboka kwa kudai haki tu walivyomfanya. Ona Mwangosi alivyouliwa. Huhitaji kwenda mbali sana kupigana na maovu duniani kama kweli una nia. Badala ya kupigana na USA, hebu anza kwanza hapa hapa Tanzania.....

tashwila-ya-kukatisha-tamaa-ya-mauaji-ya-mwandishi-wa-habari.jpg

Ndio sababu Obama akapewa Tunzo ya Amani kwa US kuchochea machafuko,kupindua serikali katika nchi wanazotaka kuweka vibaraka,, kuanzisha vita katika vipembe vya dunia.
 
Back
Top Bottom