Mtoto Pendo wa IFM

Status
Not open for further replies.

Hahahaa lol umenfurahisha
 
we naye ndo maana ujapata kazi umebaki kukimbizana na kina pendo hahahaaaa
 

hahAhahaha ni shida pendo
 

Hahahaha, mkuu yawezekana ulimfanya mtoto wa watu atembee posta to mbagala
 
duuh...aliyetoa pesa katoa pesa bandia na aliyetoa cheni katoa cheni bandia...ngoma droo
 
Sana wanawake skiz tumejishusha thaman na ndio maana tunadharauliwa.....inashangaza sana asilimia kubwa ya ss waschana skiz tunapenda wanaume wenye magar....bt am not among of them...

Tunajidhalilisha sana tubadilikeni ni aibu
 
Jamani dear ndo umekuja kunitangaza. Me mwenyewe sikupenda kuwa hivyo. But still nakupenda hivyo hivyo!!
 
Ahahaah! Siku hizi IFM kuna kozi ya BAF?
Unless kama mdau anazungumzia Mzumbe university au chuo kingine.
 
Hahahaha daaahh jemedari umetisha niko na ka uncle changu hapa kananiambia uncle usicheke daahh stori inachekesha sana mwaka wa ngapi kitaaa hahahah nissan murano duuhh buku 6 mia 3 hahahahahah daaaahh kuna watu mnavipaji
 
Tutaangamia kwa tamaa. Si wanawake, si wanaume.
 
yani naomba unipe na hela ya nauli mwaka mzima kuniacha natoa macho pale kama mjinga .... uliamua kunidhalilisha mkuuu sitakusamehe kabisa mpaka unipe hela

Haya nimekusoma, cha muhimu namba yako tu niku tigo au mpesa
 

mkiunganisha story zenu, mtatoa muvi nzuri sana ya umdhaniaye, ila nahisi huyo wa posta unamsema miss chagga nini? maana yeye na maua kama anafuga nyuki.
 

Duuh ungejua ungemrushia hata buku 5 kwa m- pesa. Jamani msiwe mnatukimbia, kama tumerithi sura za wajomba zetu, tutafanyaje sasa hahahhahaha
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…