Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Mwalimu mmoja wa kike mpya alipata kazi katika shule anayosoma Nunda ,ila Mwalimu huyo alionywa na walimu wenziwe kwamba asije akashindana na Nunda kama hana uhakika wa kushinda.
Siku moja darasani ,wakati mwalimu huyo mpya wa kike akifundisha ,Nunda alisimama hafla na kumwambia mwalimu nitakuambia umevaa chupi rangi gani na nikipata unipe shilingi elfukumi nikikosa nitakupa mimi ,mwalimu akafikiri kisha akamwambia sawa lakini baada ya somo kumaliza,tutakuwa mimi na wewe tu,kabla ya somo halijakwisha mwalimu alitoka kidogo akaenda chooni akaivua chupi aliyovaa akarudi na baada ya darasa kumalizika na wanafunzi wote weshaondoka.
Mwalimu akamgeukia Nunda haya Nunda nambie nimevaa rangi gani ,Nunda bila ya kusita akamwambia umevaa ya manjano ,duh mwalimu kwa kujua amepata elfukumi akanyanyua nguo yake na kumwambia umekosa ,nipe hela yangu,
Nunda akamwambia mwalimu sawa nifuate tuende kwa baba kwani ananingojea nje nikifika huko nitakupa ,mwalimu wa kike akamfuata Nunda hadi kwa baba yake ,mwalimu akamwambia baba yake Nunda ,nimemshinda mwanao na nimekuja kuchukua hela zangu alisema anajua nimevaa chupi rangi gani nikamuonesha kama sikuvaa chupi yeyote ile ,
Kmninazake mtoto huyu keshanichukulia shilingi 50,000 zangu aliniambia atakuona uchi wako kabla siku haijamalizika :becky: