Mtoto Nunda (1)

Mtoto Nunda (1)

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Mtoto Nunda ,siku ya Jumapili moja alirudi nyumbani kwao akiwa jicho lake moja limebadilika rangi na kufanya uzio mweusi.

Baba yake akmuuliza ,Jee Nunda nilikwambia usipigane na wenzio shuleni umeona ?

Nunda:- Baba sio hivyo nilikuwepo kanisani sasa wakati tumesimama mbele yangu alikuwepo mwalimu wangu wa kike na niliona nguo yake imeingia matakoni nikaitoa ,ndio akanizabua kibao.

Baba :- Oh NUnda usifanye hivyo mara ya pili hawapendi wafanyiwe hivyo .
Nunda ;- sawa baba.

Baada ya sikunyengine ya jumapili vilevile Nunda karudi safari hii jicho lake la pili limebadilika rangi na kufanya uzio wa kijani na ubuluu.

Baba:- Je Nunda ,nafikiri leo itabidi nikupige mikwaju njoo huku.

Nunda:- Baba sikufanya kitu wala sio kosa langu ,leo ni tulikuwa tumesimama tunaomba ,sasa nguo ya mwalimu ilikuwa imeingia sandukuni ,Elia akaenda kuichomoa ,mimi nikamuona ,nikajua kuwa mwenyewe hapendi ichomolewe nikaenda kuirudisha ndani na kuichomekea vizuri.

Baba alizirai :becky:.
 
Back
Top Bottom