Mtoto na wali!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto na wali!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by jmura, Sep 10, 2012.

 1. j

  jmura Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoto mmoja kule kijijini alikuwa amepewa chakula na mama yake. Chakula chenyewe kilikuwa wali sasa mama akamsikia mtoto wake analia akamuuliza kwanini unalia mtoto akamwambia naomba chakula. mama yake kama kawaida akamwongezea ili mtoto ale ashibe na kusaza lakini baadaye mtoto akaanza kulia tena. mama akamuuliza kulikoni mtoto akajibu mama tumbo uma huku akiendelea kula! Ulafi nooma!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  Dogo kavimbiwa lakini bado anataka kukamua mpunga nazi
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,306
  Likes Received: 13,012
  Trophy Points: 280
  kama wali ulikuwa ni mara moja kwa mwaka lazima afidie
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh teh teeh, unikumbusha kuna bibi mmoja mjukuu wake alivimbiwa wali wa sherehe ya harusi, tumbo likaanza kumuuma, ilibidi yule bibi amchukue mjukuu wake na kumloweka kwenye beseni la maji ya baridi ili kupunguza shibe ya mjukuu wake
   
Loading...