Mtoto na mpita njia!

Mtoto na mpita njia!

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
1,158
Reaction score
1,388
Mtoto mdogo wa miaka sita alikuwa amesimama nje ya nyumba yao akilia.gafla akatokea mpita njia mmoja akamuuliza

mpita njia>>we mtoto unalia nini?

Mtoto>>wazazi wangu wanapigana sana huko ndani

mpita njia>>baba yako ni nani

mtoto>>hicho ndio wanachopigania.mpita njia akaondoka bila kutoa msaada
 
duh,mpita njia hana huruma
 
khaaaa,... Duh! Ha,ha,ha,haaa... Ila inahitaj ufikirie
 
Mimi ndo mwenye huyo mtoto, nitakuja kuamulia sasa hivi huo ugonvi
 
hapa bila shaka mpita njia ndiye Baba wa mtoto!!
 
Back
Top Bottom