Mtoto na mchungaji mambo yalikuwa hivi.

Mtoto na mchungaji mambo yalikuwa hivi.

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
MTOTO mmoja aliibiwa yebo kanisani akaanza kulia MCHUNGAJI akamuuliza unalilia nini? MTOTO; wameniibia yebo zangu MCHUNGAJI; muachie MNGU. MTOTO; MNGU hazimtoshi Yebo zangu zilikuwa ndogo
 
MTOTO mmoja aliibiwa yebo kanisani akaanza kulia MCHUNGAJI akamuuliza unalilia nini? MTOTO; wameniibia yebo zangu MCHUNGAJI; muachie MNGU. MTOTO; MNGU hazimtoshi Yebo zangu zilikuwa ndogo

hii ni ya longi knm ila sio mbaya umenikumbusha mbali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom