St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,234
mmh,ishi uyaone.mama hana aibu,siku moja moja na yeye amegwe.inaonyesha huyo mama hataki tena kuolewa,ila anapenda apate mtu wa kumkuna kuna japo mara moja moja.Wazazi wengine wakoje jamani,una hiyari u share na mtoto wako.mmhh hii kali.hapo hakutokuwa na heshima tena,na hiyo siri ikitoka nje jee?[/QUOTE]
Hapo ndo jamaa anaogopa na hajisikii vizuri kuwachanganya wote kwa kuwa anaona itakuwa ni kumvunjia heshima mkewe
Kuoa binti ambaye mliwahi kuwa na uhusiano haramu (zinaa) na mama yake kabla. Ni jambo lenye kuchukiza sana katika jamii, ukiwa wewe ni binadam uliye kamilika, basi lazima utajisikia vibaya kufanya jambo kama ilo, fikiria kuwa jambo kama ilo afanye mama yako mzazi, kisha dada yako ndio anapewa mume wa jinsi hiyo, utajisikiaje?
Huyu jamaa aendelee nao kama naye ni shetani kama huyo mama.
Mwanamke huyo ni mpuuzi kupindukia. Ni nyoka, tena shetani mkubwa. Kama anamtaka jamaa amwache waendelee na mambo yao bila kumwingiza binti (innocent) ambaye hasitahili hiyo adhabu. Siku huyo binti akijua wote (huyo mama na basha yake) watajisikiaje?
Mambo mengine yanakera sana. Angenambia mimi siku hiyo hiyo ningempiga chini bila huruma. Hapo anachotaka ni kumwendesha huyo kijana kama gari bovu. Na laana sana huyo mama.
Mkuu taratibu ni ushauri tu,najua una hasira lkn chuna mtu ale kuku na mayai...si unajua tena two in one?
Unajua mtume alimweleza nini kijana aliyemuuliza kama kuzini ni sawa?
"Kama usivyopenda watu wamzini mama yako, basi na wewe usiwazini mama wa wenzio" (watalaamu watarekebisha lugh akam nimekosea maneno ila maana inakuwa ni hiyo hiyo).
Unapomwongelea mama huongelei mwanamke wa kawaida. Ni mtu anayeheshimika sana katika jamii kwani siyo kila mwenye jinsia ya kike amepata hiyo baraka ya kuitwa mama. Kwa hiyo hata mama anatakiwa kuitendea haki hiyo heshima anayopewa. Huyu wa hivi hafai kabisa kuitwa mama (she has abused the status of motherhood)... to me she is insane!!
Huyo ni wa kutwangwa kotekote na kupigishwa vuvuzela, kisha unamwacha....!
Ahahahahaaaaaah ushauri mwingine bwana!Huyo ni wa kutwangwa kotekote na kupigishwa vuvuzela, kisha unamwacha....!
Hii imetulia konakali!!!!