Mtoto na daladala

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Baada ya kufikiria sana mtoto akaamua kumuuliza mama yake: mtoto anamuliza mama hivi mama wewe pamoja na baba mbona amnipendi, mama akasema kwa nini mwanangu. mtoto akajibu: baba kanunua daladala bila kuniambia, mama akamuuliza mtoto wewe na kakwambìa? mtoto akajibu:mimi kila siku mmkiwa mmelala namsikia baba anakuambia mke wangu ikisimama panda, yule mama akajibu kweli mwanangu lakini daladala yenyewe imekamatwa na Sumatra uwezi kusikia tena napanda
 
Back
Top Bottom