Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa
Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel ,,mkapa Sasa wiki mbili zimepita anatumia dawa ila analalamika mgongo mkuu
Nakuja kwenu wajuvi wa mambo mnipe maarifa zaidi
Hii Tizanidine Alipewa Lini?
Hii pia inapunguza Spasticity Just Like Baclofen Sena Ina Side effects Nyingi ndo Maana I Preffer Baclofen Japo Zite ni Dawa Nzuri tu
Hapana Endelea Kumpatia