Joop
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 346
- 672
Pole sana mkuu....
Hiyo huitwa LUMBAR MUSCLE SPASMS... Ni kakaza kwa misuli ya mgongo hivyo kupelekea kukandamiza mishipa ya fahamu na ndo maana umepewa dawa za Nuero na kuchua
Ila mi nakushauri mpeleke kijana akafanye mazoezi-tiba (Physiotherapy)
Watamsaidia kufanya misuli ikae sawa, wao wanajua zaidi
Ule uliopewa ni ushauri na sio masharti... Ukisema masharti imekaa kiganga zaidi