malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,791
- 4,485
- Thread starter
- #21
Mkuu kanishauri mtoto asibebe vitu vizito,asiiname,asichukue kitu kwa kwakuinama,alalie godoro la mgongo,Yaani Dr bingwa wa mifupa kakuandikia Diclofenac na neurotoin tu akakuacha bila kukushauri chochote?