Mtoto miaka9 pingili za mgongo zimenyooka

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,717
Reaction score
4,295
Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa

Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel ,,mkapa Sasa wiki mbili zimepita anatumia dawa ila analalamika mgongo mkuu

Nakuja kwenu wajuvi wa mambo mnipe maarifa zaidi
 
Attachments

  • IMG_20250414_131541.jpg
    IMG_20250414_131541.jpg
    442.4 KB · Views: 20
Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa

Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel ,,mkapa Sasa wiki mbili zimepita anatumia dawa ila analalamika mgongo mkuu

Nakuja kwenu wajuvi wa mambo mnipe maarifa zaidi
Masharti aliopewa asibebe vitu vizito,asikae sehemu moja zaid ya saa moja,asiiname,asichukue kitu kwa kuinama,alalie godoro la mgongo,asisafiri kwenye chombo Cha usafiri kwa zaid ya saa moja akiwa amekaa,
 
Pole sana kwa changamoto hiyo, I mean no malice to nobody
Nitoe pole kwa niaba ya Raisi kwa ndg malembeka,

Niwasilishe report kuwa kikao Cha majobless pro max kimemalizika salama na sasa tunarejea kwenye makazi yetu tukiambulia andazi na afiya nyeusi, heshima kwako muheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro max

Wajumbe tunashukuruni kwa kuja min -me Selikavu Thecoder dosho12 makutupora
 
Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa

Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel ,,mkapa Sasa wiki mbili zimepita anatumia dawa ila analalamika mgongo mkuu

Nakuja kwenu wajuvi wa mambo mnipe maarifa zaidi
Yaani Dr bingwa wa mifupa kakuandikia Diclofenac na neurotoin tu akakuacha bila kukushauri chochote?
 
Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa

Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel ,,mkapa Sasa wiki mbili zimepita anatumia dawa ila analalamika mgongo mkuu

Nakuja kwenu wajuvi wa mambo mnipe maarifa zaidi
Kuna uzi wa bamia therepy ngoja niutafute nikuwekee hapa mkuu
 
Masharti aliopewa asibebe vitu vizito,asikae sehemu moja zaid ya saa moja,asiiname,asichukue kitu kwa kuinama,alalie godoro la mgongo,asisafiri kwenye chombo Cha usafiri kwa zaid ya saa moja akiwa amekaa,
Hayo masharti hata mganga wa kienyeji anaweza kukushauri kiufupi hujaonana Bado na ma Dr bingwa wa mifupa tafuta pesa umpeleke mtoto hospital mkuu.
 
Asee pole sana ndugu, tembelea hospital kubwa zaidi kukutana na wabobezi wa mifupa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom