SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,449
- Thread starter
-
- #21
Hata kama wanashindwa kupata majibu, unaona jitihada zao. Kwetu kitu kinajulikana na bado hakionekaniDaaaaaahhhhhhh,mbele wanathamini sana watu wao...kibongobongo wanapelekeza siku mbili tu then wanaachana na kesi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzetu wanathamini ubinadamu.Laiti wapelelezi wetu wangepeleleza kwa kutumia 10% ya juhudi iliyotumika kubaini muuaji wa huyo mtoto, bila shaka:
1.Muuaji wa Akwilina angeshatiwa korokoroni badala ya kukimbilia kufunga jalada.
2. Tungeshajua kilichompa Ben Saanane
3.Waliomfyatulia risasi mh.Lissu wangeshahukumiwa.
Kabisa
Hahaha mkuu umenifanya nicheke kwa sauti!Noma zaidi ya noma, polisi wamepiga jaramba la kutosha ingekuwa bongo wangemsweka rumande martha 'mwenye matatizo ya akili' kama walivyo mfanyia nabii tito wa dodoma..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa napita tu[emoji124] [emoji124]
Ukajikuta hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa napita tu[emoji124] [emoji124]
[emoji4] [emoji4]Dah! Wenzetu watupiga kapu kwa kila kitu.. Wakwetu zaidi ya matamko ya sio msaidia mwananchi akuna kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzangu
Sana. Na kadiri uchimbavyo waweza hofiaHii dunia ina siri nyingi sana