Mtoto Mashalaah

Mtoto Mashalaah

Hujamtendea haki kabisa kuweka picha zake na ndio mana watu wanamuita kahaba,

Kwa nionavyo hizo picha ni za siku moja,,kwanza mulikuwa kwenye bata sijui fiesta au mana kanga aliyovaa hapo kitandani tena hapo ni guest au geto kwako ni ile iliyekuwa imetandikwa chini akinywa fanta ya kopo.

Nimesema ni guest au geto kwako mana kwa vyovyote vile angekuwa kwake asingevaa kanga alioshinda nayo ma kuitandika chini.

Sasa mtoa mada kama nifikiriavo ni kweli na huyo binti wa watu labda ni mchumba wa mtu au kuna mtu alitaka kuchumbia na wewe umetupia picha zake mtandaoni je uko tayari kuwajibika?

Wadada musipende kupigwa picha kwenye simu za wanaume zenu ambao si wasitarabu,madhara baada ni makubwa,kuna wazazi wamepoteza maisha kwa kuona picha za ajabu mitandaoni za watoto wao
 
Sio kwamba mmegombana ukaamua kumweka huku kweli ukartumia ujacha wa MASHALLAH?
 
Hakuna Mahali Ambako Nimesema Malaya huyu Wala lugha yeyote ya Kejeli

Mtoto Mashalaah
 
Mbona umemleta Dada"angu humu......Kwani we ndio Shemeji yangu!!??
 
amekula maharage ya wapi!?... mbona ameshika tumbo... linauma au mapooozi !?...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom