Mtoto kuzaliwa na kichwa maji (hydrocephalus)

The Bastards

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
218
348
Habari ya uzima wakuu
Jiran na ninapokaa,

Kuna mtoto amezaliwa ila kichwa kimejaa maji (wataalamu wa afya wanaita hydrocephalus)
Kwa elimu yangu.

Nafahamu hawa watoto wanatibiwa Kwa kuwekewa mrija (catheter) ambayo itakua inayatoa haya maji kutoka huko kichwani Hadi tumboni.

Sasa nilikuwa naulizia, huu mrija unakaa Kwa muda gan? Na pia Kuna matibabu tofauti na haya?
Screenshot_20240117-204815.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom