Mtoto kuzaliwa ananyonya vidole

ytyx1

Member
Jun 29, 2016
17
11
Kwanza naanza kwa kuwapa pole na majukumu ya kila siku wana jamii wote, ivi hii tabia ya watoto Wachanga kukataa kunyonya maziwa ya mama na kunyonya vidole inasababishwa na nini??.. Msaada wadau!!!
 
Madhara makubwa ni kuathiri mpandilio wa meno yazapokuwa yanaota! Kwasababu ya mgandamizo anaouweka kwenye ufidhi mfurulizo
 
Nadhani ni kitu cha kawaida,reflex ya watoto wadogo,akifikia umri Fulani ataacha...kuhusu kukataa kunyonya ni ngumu,maana njaa itamlazimu...jaribu kuweka nyonyo yako katika hali safi,pia ule vyakula ambavyo havina asili ya uchungu...unachokula ndicho kinaenda Kwa mtoto
 
Nunua bandage mzungungushie mikononi akitaka kupeleka vidole mdomoni anakutana na bandage na mama ampe ziwa ataacha
Mkuu najua una utaalam wa haya mambo,sasa bana tuna mtoto wa mwezi hivi na wiki 2, juz kati hivi alivo poop ikawa kijani yani hiyo ni mara ya kwanza toka amezaliwa kuwa na rangi ile. Lakini ikapotea baada ya poop kama nne hivi na mtoto yuko active tu, je ni kweli kama mama amekula excessive veggies inaweza pita mpaka kwa maziwa to mtoto?
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Chaku
Iyo ni stage ya makuzi ambayo inaitwaa oral stage mtoto pleasure yake inakua mdomon kwaiyo Kila anacho kiona anaweka mdomon n wengine hula vidole kama unavosem
Cha kufany tafuta vile vinyonyo Kama vya chupa ya kunyonyea mfunge kidolen au mzoeeshe kunyony icho kidogo dogo adi ataacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom