It's
charminglady again
🙂!
Uko na maswali mazuri sana lakini pia ni magumu, this is good kwasababu sote tunapata kuelimika. Nitajitahidi sana kujibu swali lako kwa kiswahili ingawa kuna uwezekano mkubwa wa kuchanganya lugha!
Kujiviringa kitovu mtoto akiwa tumboni kitaalamu tunaita "umbilical cord knots". Hiyo knot inaweza ikajiviringa kabisa 'true knot' au ikajiviringa nusu 'partial knot'. Haijulikani ni wakati gani wa ujauzito ambapo kitovu huwa kinajiviringa. Inakisiwa kuwa kitovu kinaweza kujiviringa kati ya wiki ya 9 hadi ya 12 ya ujauzito hasa hasa kama 'amniotic fluid' ni nyingi kuliko kawaida, na hii imewahi kuwa documented kwenye majarida ya kimatibabu ya kuanzia miaka ya 1875. Pia inawezekana kabisa kitovu kikajiviringa wakati wa kujifungua na ikiwa hivyo basi ni vigumu sana kujua kama kitovu kimejiviringa hata kama mama mjamzito akifanyiwa ultrasonography wakati wa ujauzito.
Kuna factor mbalimbali zinazoweza kupelekea kitovu kijiviringa (umbilical knot), factor hizo ni kama:
- Kitovu kuwa kirefu kuliko kawaida [abnormaly long umbilical cord (> 80 cm)],
- Excessive amniotic fluid (polyhydramnios) na
- Mtoto kuwa mdogo kuliko inavyostahili akiwa tumboni (small fetus).
There are other factors which are independently associated with umbilical knot, these factors are:
- Amniocentesis (a procedure in which a small amount of amniotic fluid is removed from the sac surrounding the fetus for diagnosis / testing)
- Mtoto wa kiume (male fetus)
- Chronic hypertension
- Grand multiparity (a woman who has already delivered five or more infants)
- Cord accidents (cord prolapse) (umbilical cord comes out of the uterus with or before the presenting part of the fetus)
- Pia kuna baadhi ya tafiti zimeonyesha kuwa uvutaji wa sigara wakati wa ujauzito una uhusiano wa moja kwa moja na kitovu kujiviringa.
Madhara makubwa ya kitovu kujiviringa ni kupunguza damu inayokwenda kwa mtoto (reducing blood flow to the fetus) na hivyo kufanya ukuaji wa mtoto akiwa tumboni kuwa wa wasiwasi, and if the blood flow will be completely occluded then the fetus will die in the uterus. Sometimes (many times) the knot is loose and the blood flow normally to the fetus but become tighten when labour starts and the baby dies.
Dalili kubwa ya kitovu kujiviringa ni mama kuona/kuhisi movement za mtoto tumboni zinapungua hasa hasa kuanzia wiki ya 36 ya ujauzito.
Unatakiwa kufanya nini? - Kwahahika hakuna kitu unaweza kufanya ili kuzuia kitovu kujiviringa (umbilical knot) bali unashauriwa kuwa makini na maendeleo ya ujauzito na kuripoti kwa daktari haraka iwezekanavyo unapoona mambo si sawa.
Kwa kifupi nadhani nimeeleweka!
😉