Mtoto kubemendwa hutokea hivi

Hakuna kitu kama hicho.Hizo ni imani za kwetu nchi nyeusi ila hazina uhalisia na ukweli wa mtoto kudumaa.wazee waliziweka ili mama atumie muda mwingi kunyonyesha mtoto badala yakuangaika na mapenzi.Na pia waliweka hiyo kama tahadhari maana wako wanawake ambao ndani ya kipindi cha miezi 6 ya mwanzo baada yakujifungua wanaanza mapema kuingia MP kwaiyo ni rahisi kushika tena ujauzito wakati bado ananyonyesha.Na pia waliangalia na usalama wa afya ya mama baada yakujifungua.kumbuka mama akishajifungua via vyake vya uzazi vimetoka kwenye zoezi zito kuanzia kushikilia mimba kwa miezi 9 hadi kujifungua kwaiyo waliona ni vyema uyu maana akapata muda mrefu kidogo wakupumzika nakupona uku akijishughulisha na kunyonyesha tu ili kutoa muda wayeye kukaa sawa kimwili na kiakili.Iyo iyo ni imani ya wezee wetu ila haina uhusiano kisayansi.
 
keep up master.. ni elimu nzuri japo wengine watapuuzia.. Zinaa ni uchafu/ haifai
 
Mkuu kwanza naomba umpuuze mleta maada maana ni muongo...

Scientifically hio imani ya kubemenda ni uongo....mwanamke baada ya kuzaa anaruhusiwa kufanya mapenzi na hakuna njia ambayo manii zinaweza kumdhuru mtoto (never)
The real facts
 
Hii elimu ni tosha kabisa
 
Research mbali sana kiongozi ,baadhi ya maandiko ya kisayansi yanadhibitidha hivyo .

Na kwa udhibitisho zaidi angalia watoto wadogo wakibemendwa huwa wanachelewa mno kutembea kwa sababu ya ulegevu.
Not necessarily
 
Kubemenda ni imani potofu tu.

Haina ukweli wowote wa kisayansi.
 
Mkuu kwanza naomba umpuuze mleta maada maana ni muongo...

Scientifically hio imani ya kubemenda ni uongo....mwanamke baada ya kuzaa anaruhusiwa kufanya mapenzi na hakuna njia ambayo manii zinaweza kumdhuru mtoto (never)
Science haiko static ivo usijiapishe kuwa ni uongo Leo aliokuandikia Hayo ma vitabu ya Anatomy, Reproduction akifanya Research akagundua ivo vitu vipo? Utasimamia wapi, Wanasayansi huwa hatupingi jambo kiivo mkuu eleza Currently situation iliopo sasa na si kujiapisha kuwa hicho kitu akipo
 
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*
Povu na uongo uliotukuka, hizi ndizo imani za waganga wa kienyeji, hakuna kitu kama hiki, wewe na wenzako ndio wale mnaoleta mada za kiimani zaidi kuliko kisayansi, acha kudanganya watu na pumba za kijinga na za kipotovu kama hizi, hazina tofauti na zile za mdudu mtu kwenye mboga, kuua albino, kuua vibibi kizee, paka mweusi n.k.
Pumba kabisa...
 
Mkuu anatomy ya binadamu haibadiriki labda evolution itokee (ambayo tunaambiwa inatokea taratibuu kama miaka hata mil 1)
Kama reproductive system haiungani na breast basi labda usubili miaka mil 1 na zaidi evolution itokee ndio vitaungana
 
Elimu tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…