Gigy Money Amekanusha: Katika mahojiano mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kama TikTok na Instagram, msanii huyo ameweka wazi kuwa video chafu zinazosambazwa sio zake na wala hafanani na mtu aliyemo kwenye video hizo.Connection ya Gigy money
Walichomfanyia Yule binti ndio situation anayokutana nayo mtu anayeingia mikononi mwa wasiojulikana, ukisalimika Sana ndo wanakutupa porini ukiwa hai au somewhere wakati huo tayari washakuvuruga mitambo ya sehemu za siri...
Chama cha majambazi kime invest zaidi kwa polisi kwenye kazi zao za gizaWanaweza kutumiwa vibaya na chama cha majambazi
Na hiyo siku haipo mbalikuna siku watawageuka!