Mtoto kanivunjia ndoa.

afadhali ajondokee maana heshima huna,,, utafanyaje uzinzi kwenye kitanda chako na mkeo? dharau hizo


 

Sasa si uhalalishe huyo huyo wa town?
 
Ni sawasawa na kula hg kitandani kwenu wakati kuna carpet sitting room.
 
mi nahisi litakuwa division five! Kumbe hata mwanaume -------- anavunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe?

Lina division 5 halafu linadai eti liko busy mno na majukumu ya ujenzi wa taifa hivyo halina hata mda wa kwenda kumpokea mke wake stend wakati hawajaonana muda mrefu, cjui linafanya kazi gani hili ----- wakati lilifeli, hata kujiajiri haliwezi
 

Mbona lina Elimu ya kutosha tu na maisha mazuri sana tu watoto linawasomesha shule za kimataifa lakini wakirudi likizo linakuwa Pumbafu kuwapeleka kwa Hawara.
Mkuu mtu mwenye elimu ya kutosha hata ya division 4 anaongea vitu vyenye busara na matendo yake siku zote humfanya aonekane mtu mwenye hekima. Hili jamaa niona uhakika hata kama lina vyeti basi itakuwa sio vyake either limenunua au limechukua vya marehemu ndugu yake. Unaenda kuleta malaya kwenye kitanda cha mkeo halafu unautangazia ulimwengu, nina mashaka sana na uwezo wake wa kufikiri. Haya ndiyo majitu yanatumia sehemu za siri kufikiria badala ya kutumia ubongo:frusty:
 
Nipe namba yake nimpigie nikubembelezee
 
mkuu ulichopanda ndicho ulichovuna mkuu.kama ulipanda bangi utavuna bangi.umalaya wako ndiyo umekupoza .zungumza na mkeo vizuri mkuu
 
Yule anaejiona mtakatifu na awe wa kwanza kumpiga mawe na kumdhihaki huyu bwana
Kupeleka hawala nyumbani??? wengi tutampiga mawe. wenzake washamwambia, hawara yake gesti au vichochoroni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…