Mtoto kama Kuku Mgeni ...

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
311548_459580420733188_1810816053_n.jpg
 
hata kama hatulii,hii siyo njia sahihi ya kumfanya atulie!!mtafutie midoli ya kuchezea na mazingira mazuri ya kucheza uone kama hata tulia!!
 
mmm huyo hajazoe midoli, hata umpe vifuu anaelekea hatotulia
 
We vipi, mdoli wa bei nafuu anauzwa bei ya bajet ya siku tano. Usiseme hivyo. Maisha magumu huyu mzazi yupo sokoni anaongea na wateja, akimuacha loose atapotea. Hapo ukiangalia hana mtu wa kumuachia nyumbani. Kabeba kachoka, hebu nikafunge hapa kwa muda nitakachukua baadae. Hata ukiangalia hiyo kamba aliyomfunga nayo si ya mateso kama wengi tulivyomuhukumu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom