Mtoto kaleta matatizo

Mtoto kaleta matatizo

Huyo hakupendi ila anapenda kupata mototo tu kwako, subir azae na ww thn kama kutakua na mapenzi labda ufunge nae ndoa
Kuna demu ananipenda ila anao wivu mpaka basi, akiwa na wivu hapokei simu. Najua ananipenda mpaka anachanganyikiwa tatizo mi bado najipanga kimaisha analazimisha mtoto wakati Mimi bado sipo poa. Nampenda sana tatizo la ugomvi ni hill tu. Sijui nimwambie nini naona nitamdanganya anahisi vibaya. Sijawai kuona wivu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani tumeumbwa tujitenge kila jinsia ikae kivyake? Wapi imekatazwa kuwa na marafiki wengi wa jinsia tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
demi tatizo sio kuwa na marafiki wa jinsia zote. Muda mwingi yuko pamoja na rafiki zake inakua shida kufanya kitu flani halafu inaweza kuchangia migogoro. Mbona wanaume tukiwa na rafiki wa jinsia zote hamtaki
 
Mbona simple tu kaka yangu..kama hupendi mienendo yake achana nae, utapata ambae ataendana na wewe atafata jinsi unavyotaka.
Kwanini ujipe pressure bure?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom