Walipoambiwa na mwalimu wao waandike insha kuhusu sehemu mbalimbali walizowahi kuishi kila mtoto alifanya hivyo isipokuwa mtoto mmoja alikwenda mbali zaidi pale alipoandika kwamba sehemu moja alipowahi kuishi hakumbuki ilikuwaje na alikuwa anafanya nini, sehemu hiyo eti ni kwenye mimba.