Lukwangule
Senior Member
- May 25, 2009
- 157
- 2
Nyie mmeangalia taarifa ya habari ya TBC1 leo jioni saa mbili kuhusu mtoto mlemavu ambaye kichwa chake kinaning'inia na anajitahidi kuishi kama kawaida lakini hawezi kukaa analazimika kusimama akisoma? Nyie nyie kijana anaitwa Frank Mungu wangu madaktari wapo wapi? Huyu mtoto anateseka sana. familia maskini na serikali nayo sijui maskini? Lakini watu ni matajiri wa roho je hawawezi kurekebisha tatizo hili ambalo huyu mtoto hakuzaliwa nalo? Mimi najisikia vibaya sana