Mtoto mwenye umri wa miaka kati ya 7na 8 amejeruhiwa na mabomu ya machozi yaliyopigwa na askari polisi kwenye makazi ya wananchi wakati wakiwafukuza wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga) katika soko la Mchikichini Ilala Dar-es-salaam.
Jambo la kusikitisha katika kufunika unyama huo familia ya majeruhi imepewa shillingi elfu kumi (10,000/-) ilikumhudumia mtoto huyo!
Nashauri viongozi wa Jeshi la Polisi hebu angalieni mwenendo wa askari wenu lawama na dhahma mtazibeba nyinyi.
Mkuu Mamndenyi si Dharau tuu ni unyama na hilo tamko la kupewa hizo Elfu kumi kalisema Mhe Zungu Mbunge wa ilala kuonyesha mshangao alipomtembelea mtoto huyo leo.
SMART 911:
RUSHWA Elfu kumi!! hawa watu wanatia sana hasira. kama kuna msaada wa kisheria wa kumsaidia majeruhi naomba wanasheria msaidieni,wanaharakati jitokezeni kupigia kelele unyama huu.
Dawa yao hao polisi nikuwakosesha na wao amani tuwataje wote wanaotumia vyeti vya kufoji, Mimi namjua mmoja anaitwa deo masatu central mwanza polisi anatumia vyeti vya mdogo wake ni dokta hospital ya iringa mjini namba yake 0754 945065 na wao tuwaumbue waache unyanyasaji
Wapo wanatesa watu kinyama Kwa vyeti vya kufoji na wao waumbulie sasa, deo masatu central mwanza, vyeti vya mdogo 0754 945065, mumuombe awape mshahara wake hajausomea, tuwaumbueeeee.
Yote hayo ni matokeo ya ccm kutaka kulindiwa wizi na ufisadi wao kwa kuwapa ajira za mkataba ma-RPCs waliokwisha staafu tangu mwaka juzi. Huyu wa Dar alishastaafu mwaka jana na hata yule wa Mtwara. Na nchi nyingine, kasoro kama hizi za kupambana na raia zikileta madhara yaliyopitiliza makadirio yao mkuu wa polisi hutakiwa kukaa kando kwa kuongoza vibaya. Kagonji angepisha kwani kiti hakimtoshi tena kuwa operating commander na hata Kova na rpc, ocd wa Ilala hawatoshi kubaki kwenye nafasi zao kwa kitendo cha kuruhusu nguvu kubwa kutumika na kutoyajali makundi ya watu maalumu wasioweza kujitetea kama watoto. IGP pima wasaidizi wako kwani muda si mrefu watakuangusha vibaya.
Ndo mmoja huyo mwenye vyeti vya kufoji, deo masatu central mwanza, vyeti vya kufoji vya mdogo wake na wote wapo serikalini, tumuumbue namba yake 0754945065, ni darasa la saba lakini kaingia kazini kama form six tuwaumbue wasiendelee kutuumiza wakati wamefoji vyeti