Mtoto apigwa mabomu na Polisi

Mtoto apigwa mabomu na Polisi

Ukiona anakuzoea ujue anataka rushwa..kama mko bar ujue anataka mtelezo,..
 
Dawa yao hao polisi nikuwakosesha na wao amani tuwataje wote wanaotumia vyeti vya kufoji, Mimi namjua mmoja anaitwa deo masatu central mwanza polisi anatumia vyeti vya mdogo wake ni dokta hospital ya iringa mjini namba yake 0754 945065 na wao tuwaumbue waache unyanyasaji

hahah mkuu naona unatafuta kurogwa hapa
 
Belive me mambo wanavyofanya Polisi TZ ni vitendo vilivyokuwa wanatendewa ndugu zetu wa Afrika kusini! Mtoto ana majeraha mwilini kisha Polisi hawaonyeshi huruma ya aina yoyote jamani ni ukaburuu tuu!!
 
Ndo mmoja huyo mwenye vyeti vya kufoji, deo masatu central mwanza, vyeti vya kufoji vya mdogo wake na wote wapo serikalini, tumuumbue namba yake 0754945065, ni darasa la saba lakini kaingia kazini kama form six tuwaumbue wasiendelee kutuumiza wakati wamefoji vyeti

hongera kwa kutufichulia riharifu!! linakula mshahara wa bure kabsaaa.
 
Mungu yupo nasi harogeki mtu hapa huyu kafoji vyeti kama anapita humu jamvini au ndugu yake habari ndo hiyo mambo hadharani atoke mbio tuu
 
Poa, tuwafichue wote tubaki na wasomi hawawezi kupiga hovyo hovyo wakimbie na bangi zao bila kisomo. Central mwanza polisi deo masatu asisumbue mtu tena. Na vyeti vya kufoji.
 
MBONA ni DESTURI tuu

Majeruhi polisi na marehemu.JPG

ty.jpg
 
Dawa yao hao polisi nikuwakosesha na wao amani tuwataje wote wanaotumia vyeti vya kufoji, Mimi namjua mmoja anaitwa deo masatu central mwanza polisi anatumia vyeti vya mdogo wake ni dokta hospital ya iringa mjini namba yake 0754 945065 na wao tuwaumbue waache unyanyasaji

nunua karatasi na kalamu nyingine, orodha ni ndefu sana, usisahau na wale maafisa wanaopewa nyota pale chuoni baada kulipa hela na kufanyiwa mitihani!
 
Mkuu Special Agent ni sahihi kabisa ulichosema kitalaam ila kutokana na mshindo wa mlipuko unaosikika baada ya kupigwa/kurushwa hiyo gesi na majeraha anayoyapata mtu anapolengwa na hao wapigaji hiyo gesi/moshi wa machozi tafsiri inabadilika.
 
Back
Top Bottom