Mtoto anusulika kuliwa na Simba bahari zoo Dar es Salaam

poleni sana,niliwahi kutembelea kule dah simba wakikuona wanakumeze mate yaani wanatamani kama udumbukie ndani mwao wafutulu
 
Anafikiri wana JF wajinga ameshindwaje kupiga picha hata sehemu mtoto alipokua anavutwa.kaangalia taarifa ya habari anajidai alikuwepo.!

kijana wa leo, sijawahi kufikiri wana jf ni wajinga maana na mimi ni mmoja wao ila nimegundua wewe ni mjinga tena sana tu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani! Picha ya mtoto aliyeraruliwa na simba ina raha gani kuwekwa hapa? Hata hivyo mleta thread kajieleza vya kutosha kwamba muda aliokuwa nao aliutumia kumwokoa mtoto na si kupiga picha. Hongera Lukansola kwa kumwokoa mtoto badala ya kupiga picha.

asante sana, kwa ufafanuzi pia.
 
mkuu hayo matundu yanatosha kupita mtoto

Inaweza kuwa matundu hayo hayatoshi kupita mtoto lakini simba walidhania kuwa mtoto huyo anaweza kupenya katika matundu hayo au walitaka kumla hivyo hivyo (vipande vya nyama yake vinaweza kupenya katika tundu hilo).
 
Jamani! Picha ya mtoto aliyeraruliwa na simba ina raha gani kuwekwa hapa? Hata hivyo mleta thread kajieleza vya kutosha kwamba muda aliokuwa nao aliutumia kumwokoa mtoto na si kupiga picha. Hongera Lukansola kwa kumwokoa mtoto badala ya kupiga picha.
Kuna mpiga picha mmoja alipiga picha ya mtoto huko Ethiopia akitaka kuliwa na tai kwa alishindwa kukimbia shauri ya njaa.

Dunia ilimlaumu sana huyo mpiga picha mpaka mpiga picha akajiua kwa stress.

Ulifanya kilichobora under the circumstances. Hongera Lukansola.
 
Inaweza kuwa matundu hayo hayatoshi kupita mtoto lakini simba walidhania kuwa mtoto huyo anaweza kupenya katika matundu hayo au walitaka kumla hivyo hivyo (vipande vya nyama yake vinaweza kupenya katika tundu hilo).

thats correct great thinker, wengine ni wavivu wa kufikiri, au kila kitu wanachukulia mzaha.
 
Duh hi ni hatar last week nilikua TEGETA PALE JIRANI KUNA ZOO WALE SIMBA WANAVO UNGURUMA KAMA MUOGA HULALI MANA UNAWEZA HISI WAPO DIRISHANI
 
King Kong hata ningefanya promo isingekuwa kwa mtindo huu, muda ambao ningetumia kupiga picha ndio niliotumia kumuokoa mtoto huyo nikiwa na watu wengine kama wawili au watatu.

Hongera shujaa.."Lukansola ampiga simba"
 
Kuna mpiga picha mmoja alipiga picha ya mtoto huko Ethiopia akitaka kuliwa na tai kwa alishindwa kukimbia shauri ya njaa.

Dunia ilimlaumu sana huyo mpiga picha mpaka mpiga picha akajiua kwa stress.

Ulifanya kilichobora under the circumstances. Hongera Lukansola.

nadhani hata wengine wangenishangaa, maana tulikuwa kama watatu tu hivi.
 
hii habari ni kweli jana nimeona kwenye TV wamemuonyesha mtoto .ila kilicho niuzi ni mwenye zoo kutoa lawama kwa mzazi wa mtoto wakati wao wanajukumu la kutoa ulinzi inamana angetokea kichaa na kufungua mlango simba au chui watoke na kukimbilie mtaani lawama ni za nani.

inabidi hio zoo ingaramie gharama zote za mtoto mpaka apone na waombe radhi kwa wateja wao . mtoto amekamatwa na simba amesaidiwa na watazamaji wengine wala sio asikari wao walio pale. au mtaalamu wa wanyama pori.

pamoja na mzazi kuwa responsible na mtoto wake ila ile zoo inatakiwa kuwa responsible na wanyama wake wasiwadhuru wateja
 
pale zoo kuna msichana mmoja ambaye ndie kama mwangalizi, siku hiyo kazi yake ilikuwa ni kupiga mayowe na kukimbia ovyo kama mwehu.
 
niliiona hii itv kweli katoto kalikuwa na majereha usoni tumboni na miguuni kwene majapa inasikitisha
mama wa mtoto alijieleza kwamba alienda chooni na kumuacha mtoto reception baada ya kulipia matokeo yake katoto kakaanza survey alone na maza kutoka maliwatoni anakutana na simba wanajisevia mishkaki ya mwanae akazimahapohapo kuamka wote wako hosp na mtoto anaendelea fresh tuu. Ufoo saro aliripoti hii
 
Hili tukio limeshathibitishwa. Kwa waliokuwa wanadai picha, kweli ni maadili? Mtu analiwa na mnyama na wewe unapiga picha? Majuzi nilishuhudia ajali mbele yangu na jamaa kamwagwa ubongo wote. Nilitaka kuchukua picha nikasita
 
hii habari ni kweli jana nimeona kwenye TV wamemuonyesha mtoto .ila kilicho niuzi ni mwenye zoo kutoa lawama kwa mzazi wa mtoto wakati wao wanajukumu la kutoa ulinzi inamana angetokea kichaa na kufungua mlango simba au chui watoke na kukimbilie mtaani lawama ni za nani.

inabidi hio zoo ingaramie gharama zote za mtoto mpaka apone na waombe radhi kwa wateja wao . mtoto amekamatwa na simba amesaidiwa na watazamaji wengine wala sio asikari wao walio pale. au mtaalamu wa wanyama pori.

pamoja na mzazi kuwa responsible na mtoto wake ila ile zoo inatakiwa kuwa responsible na wanyama wake wasiwadhuru wateja

Sawa kabisa Bro. Mwenye Zoo inabidi achukuliwe hatua (kama anashindwa kuwaangalia wanyama hao bora awaachie huru).
 
pale zoo kuna msichana mmoja ambaye ndie kama mwangalizi, siku hiyo kazi yake ilikuwa ni kupiga mayowe na kukimbia ovyo kama mwehu.
utakuta kasichana kenyewe kana afya mgogoro, na Silaha kaliyoshika mkononi ni kafimbo,halafu wanasema wanamlinzi wa simba. Pumbaf kabisa hao
 
mtoto alisogea karibu kiasi cha simba kuweza kumdaka kupitia matundu hayo, mtoto alikuwa nje simba ndani.

Yaani mlikuwa fasta sana. Yale mawe makubwa mliyokuwa mmewatupia simba iliwamwachie mtoto mbona hayaonekani? Au mliyaondoa ili yasiharibu picha?
 
Back
Top Bottom