Watoto wanaelewa asikwambie mtu,
kuna siku mwanangu alikaa macho mpaka saa sita ananiangalia anacheka tu,nikifumba macho ananifinya usoni,
nikamwangalia usoni nikamwambia mwanangu lala mama yako nimechoka nipumzike,
hakuchukua dakika mbili akalala palepale,