Mtoto anaingilia mapenzi ya mama yake na uncle.

Mtoto anaingilia mapenzi ya mama yake na uncle.

Mbona unakwepesa kwepesa si useme kuwa inakuhusu mwenyewe? utashangaa sasa hao watoto watakapoanza kuitana binamu halafu wapeana nyama ya hamu. kwezi wawazi katika kutengeneza mahusiano.

Yawezekana Pia!
Lakini...Kwani Mtoto Wa Jamaa Ni Wa Kiume?
 
Hahahahah kumbe madogo nao wana wivu eeeeeh? Kwahiyo masingle parent hawana chance ya kudate tena..,?
ahahahhaah hapana mamdogo!
sijawahi kudate a single parent
lakini si unajua tena kazi yetu hii tunaweza kuvaa viatu vya nafasi nyingi za maisha ya watu!
plus kuzungumza na watoto wenyewe unawasikia wanakwambia wht is happening at home!yani kuna kipindi mtoto anagoma kuja shule kisa baba yake asiende kwa auntie ciello kwa mfano!
kesho yake akija ukimuuliza kama anakuturst anakwambia tu jana sikuja shule kwa sababu dadii aliniambia mchana ataenda kwa anti anaumwa so na mi nikamwambia naumwa ili akae tu nyumbani!maadme yu know i hate antie ciello and my dad told me anaataka kumuoa but mum told me she is the reason dadii amemwacha!
wat a hell !basi mtoto ndo shule hakisomeki hakieleweki kisa anapanga mashambulizi antie ciell asiolewe!
 
Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na mazingira inabidi kila wanapotaka kukutana mwanaume aenda kwa mwanamke, sasa jamaa analalamika mwanamke ana mdekeza sana mtoto wake(kike), kila wanapokuwa wamekaa mama na uncle mtoto anatakaa kukaa katikati, na inafikia hadi kulala usiku mtoto anataka kulala katikati (mtoto ni wa umri wa miaka 7 anasikia na anaelewa vyote vinavyoongelewa) mama kwa kuwa hataki kumuudhi mtoto wake anamkubalia vyote anavyotaka, kilachomfanya mpaka akaleta kwenye jamvi hili ni siku moja alienda kulala ilipofika usiku mtoto akalilia kulala na mama yake na uncle atoke, uncle kwa kutotaka asimuudhi demu wake maana mtoto akilia na mama anakuwa hana raha then uncle ikabidi atoke ampishe mtoto na uncle akalala sehemu nyingine. Tutoe ushauri kuhusu haya mahusiano, ushauri uegemee sana kisaikolojia na kimahusiano.


Wabadilishe utaratibu, badala ya jamaa kwenda kwa demu wake, huyo demu ndo awe anaenda kwa jamaa! Simpo!!!!
 
hivi inakuwaje unakubali mtu asiye baba wa mtoto ama mama wa mtoto analala kitanda kimoja na wewe pamoja na mtoto wako??

Kabisa inaingiaje akilini??

Hata kumleta tu nyumbani alale chumbani kwangu na mtoto chumba chake nayo mushkeli.

Inakuwaje uzinzi unanoga kiasi hicho cha kushindwa kukumbuka maslah ya watoto.
 
Hahahahah kumbe madogo nao wana wivu eeeeeh? Kwahiyo masingle parent hawana chance ya kudate tena..,?

weh!weh!watoto wana wivu mfano hakuna!
hasa kama anayehisi kunyang'anyana nae point sio mzazi wake,maana hata sisi tunao walea pamoja tunshuhudia huu wivu watoto
mfano mimi watoto wangu wote wa kike!
sasa si unajua habari ya gals na baba zao!yani mkiwa hivi wanne ni full kuwa ignored na hawataki for a sec baba a pay an attention kwa mama!watamkeep busy weee ili mradi tu akupotezee basi na hata ikiotkea mdingi anamua kuwatimua ile like sasa nataka kuongea na mama wananunajee!
but kwa wazazi wawili ni rahisi since unaweza kuwa mkali,kuwachapa kuwakemea , au pengine kuwaelewa tu na kuendelea na mambo mengine until further notice sasa kwa mdada mwingine inakuwa ngumu!since ni wazi the guy hatataka kuchoose the girlfriend over his kids(akiwa mvulana inakuwaga poa sana since wote wanahitaji a lady to take care of them )
chances za single parent kudate tena zipo but ndo anakuwa so much in weigh situation like what shud i do?who shud i please?na mambo kama hayo
ila kwa uzoefu wangu naona wazazi ambao wana same sex na watoto wao mara nyingi wakidate tena mahusiano huwa poa
yani ile mzazi wa kiume awe na mtoto wa kiume a lady akingia hapo huwa ni mwake
na mzazi wa kike akiwa na mtoto wa kike the guy akiingia hapo mambo mswano!nafikir ni ile idea tu ya kufanya compasation!
kimbembe mdada awe na mtoto wa kiume na mkaka awe na mtoto wa kike!uuuwih!
 
hivi inakuwaje unakubali mtu asiye baba wa mtoto ama mama wa mtoto analala kitanda kimoja na wewe pamoja na mtoto wako??

Kabisa inaingiaje akilini??

Hata kumleta tu nyumbani alale chumbani kwangu na mtoto chumba chake nayo mushkeli.

Inakuwaje uzinzi unanoga kiasi hicho cha kushindwa kukumbuka maslah ya watoto.
hapo chacha!
matokeo yake mtoto unaharibu na mahusiano nayo unaharibu manake kuna mijitu hamnazo ati!wanaweza kukurusha maji na mwanao kalala pembeni makusudi kukukomesha au kumkomesha mtoto!
 
Duh asante kwa somo zuri i never knew this,ngoja nicheze kwa step lol
weh!weh!watoto wana wivu mfano hakuna!
hasa kama anayehisi kunyang'anyana nae point sio mzazi wake,maana hata sisi tunao walea pamoja tunshuhudia huu wivu watoto
mfano mimi watoto wangu wote wa kike!
sasa si unajua habari ya gals na baba zao!yani mkiwa hivi wanne ni full kuwa ignored na hawataki for a sec baba a pay an attention kwa mama!watamkeep busy weee ili mradi tu akupotezee basi na hata ikiotkea mdingi anamua kuwatimua ile like sasa nataka kuongea na mama wananunajee!
but kwa wazazi wawili ni rahisi since unaweza kuwa mkali,kuwachapa kuwakemea , au pengine kuwaelewa tu na kuendelea na mambo mengine until further notice sasa kwa mdada mwingine inakuwa ngumu!since ni wazi the guy hatataka kuchoose the girlfriend over his kids(akiwa mvulana inakuwaga poa sana since wote wanahitaji a lady to take care of them )
chances za single parent kudate tena zipo but ndo anakuwa so much in weigh situation like what shud i do?who shud i please?na mambo kama hayo
ila kwa uzoefu wangu naona wazazi ambao wana same sex na watoto wao mara nyingi wakidate tena mahusiano huwa poa
yani ile mzazi wa kiume awe na mtoto wa kiume a lady akingia hapo huwa ni mwake
na mzazi wa kike akiwa na mtoto wa kike the guy akiingia hapo mambo mswano!nafikir ni ile idea tu ya kufanya compasation!
kimbembe mdada awe na mtoto wa kiume na mkaka awe na mtoto wa kike!uuuwih!
 
mtu kuwa mwehu si lazima mtu aokote makopo aisee

huu nao ni wehu wa aina yake.

hapo chacha!
matokeo yake mtoto unaharibu na mahusiano nayo unaharibu manake kuna mijitu hamnazo ati!wanaweza kukurusha maji na mwanao kalala pembeni makusudi kukukomesha au kumkomesha mtoto!
 
Huyu mtoto anahitaji kuingiziwa dushelele. Dawa wagonge yeye na mama yake

Samahani sana, kwa ushauri kama huo inabidi ukapimwe akili! Unawezaje ku suggest kitu kama hicho kwa mtoto wa miaka 7? Na hata kama angekuwa na miaka 20 pia mtu huwezi kushauri hivyo!
 
Huyu mtoto anahitaji kuingiziwa dushelele. Dawa wagonge yeye na mama yake

Mtu yoyote anaeweza kutoa comment ya aina hii, anafaa kuchunguzwa na mamlaka za usalama, iwapo kweli haharibu watoto wa watu mtaani
 
wakioana huwa ndoa inakuwa worse zaidi!manake kumbuka wote wana watoto na kila mtoto ataona mzazi wake ndo bora na kila mzazi hapo hatataka kumuudhi mwanae matokeo yake hiyo ndoa ni balaa tupu!unaless sijui wacheze vipi karata zao!

snowhite unaisemea ndoa ya hawa wawili specifically au unasemea wapenzi wenye watoto wote? Maana ni kama unataka kusema haiwezekani kwa single parents kuwa na ndoa tena? au nimekusoma vibaya?
 
snowhite unaisemea ndoa ya hawa wawili specifically au unasemea wapenzi wenye watoto wote? Maana ni kama unataka kusema haiwezekani kwa single parents kuwa na ndoa tena? au nimekusoma vibaya?
kama sijaiweka vizuri enh!well inawezekana nimegeneralize sana!but my idea was sio kwamba single parents hawawezi kudate na kuwa na furaha tena kwenye mahusiano bt inategemea na kind of watoto mlio nao!mara nyingi ikiwa wote mna watoto ni ngumu zaidi kuliko mmoja tu akiwa na mtoto au wa watoto
ikiwa mtoto wa mupenzi ni same sex na mupenzi chances mahusiano huwa poa
mara nyingi ikiwa mupenzi na mtoto ni different sex like (baba na gal au mama na boy)mara nyngi mahusiano huwa at stake sana
ikiwa watoto ni wakubwa mahusiano ni 50/50 huweza kuwa poa au worse zaidi!
lakini all in all hayo ni mtazamo wangu tu na jinsi nilivyotazama maisha ya watu wa karibu au kusoma hapa na pale! so sio kwamba ni lazima iwe vile vile ninavofikir mimi iwe applied katika love affairs zote za masingle parent!
sijui nimeeleweka maskini!nahofia sana kuumiza kihisia mtu kwenye mambo sensitive kama haya!lol
 
Mtu yoyote anaeweza kutoa comment ya aina hii, anafaa kuchunguzwa na mamlaka za usalama, iwapo kweli haharibu watoto wa watu mtaani

mi hiyo post yake imenikera sana tu nikaona ninyamaze manake wengine midomo yetu haina subra ikiamua kuyatoa ya chooni!
 
Samahani sana, kwa ushauri kama huo inabidi ukapimwe akili! Unawezaje ku suggest kitu kama hicho kwa mtoto wa miaka 7? Na hata kama angekuwa na miaka 20 pia mtu huwezi kushauri hivyo!

mi niliamua tu kunyamaza manake si wanijua tena PRO wenu kwenye ile ofisi yetu na bosi wetu!
 
mi niliamua tu kunyamaza manake si wanijua tena PRO wenu kwenye ile ofisi yetu na bosi wetu!

Mie amenikera mpaka nikashindwa kumpotezea! Btw, best nimemmiss sana boss wetu jamani. Ila tumwache aendelee kupata nguvu taratibu.
 
Km ni lazima kufanya mchezo huo kwann wasisubiri mtoto alale then wahamie sehem nyingne( next room to that) hao hawana nia ya kweli ya ku........
 
Some parenting! Hivi kweli una binti wa miaka 7, na unaleta mwanaume unalaza nyumbani! What are you trying to teach your daughter? Kweli binti akirudi na mimba at 15 utamsema?

Huyo mtoto anakereka na anajaribu kumpa ujumbe jamaa na mamake. Na huyo mwanaume asijione mjanja, kuna leo na kesho. Atazaa na huyo dada na kwa sababu wote wawili hawana nidhamu, endapo wataachana na yeye bintiye atalazwa kitandani na mwanaume mwingine 'uncle'

:shut-mouth: I am a bush gal indeed. My daughter wouldnt have even suspected me sleeping with another person.
 
Back
Top Bottom