Mtoto anaingilia mapenzi ya mama yake na uncle.

Mwanasazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
242
Reaction score
71
Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na mazingira inabidi kila wanapotaka kukutana mwanaume aenda kwa mwanamke, sasa jamaa analalamika mwanamke ana mdekeza sana mtoto wake(kike), kila wanapokuwa wamekaa mama na uncle mtoto anatakaa kukaa katikati, na inafikia hadi kulala usiku mtoto anataka kulala katikati (mtoto ni wa umri wa miaka 7 anasikia na anaelewa vyote vinavyoongelewa) mama kwa kuwa hataki kumuudhi mtoto wake anamkubalia vyote anavyotaka, kilachomfanya mpaka akaleta kwenye jamvi hili ni siku moja alienda kulala ilipofika usiku mtoto akalilia kulala na mama yake na uncle atoke, uncle kwa kutotaka asimuudhi demu wake maana mtoto akilia na mama anakuwa hana raha then uncle ikabidi atoke ampishe mtoto na uncle akalala sehemu nyingine. Tutoe ushauri kuhusu haya mahusiano, ushauri uegemee sana kisaikolojia na kimahusiano.
 
Si Amuoe?
Mtoto Anajua Kuwa Jamaa Hana Chake Hapo,Na Ndio Maana Jamaa Habishi Kuhama!
 
Huyu mtoto anahitaji kuingiziwa dushelele. Dawa wagonge yeye na mama yake
 
Wanalala na mtoto wa miaka 7 kitanda kimoja?
 
Si Amuoe?
Mtoto Anajua Kuwa Jamaa Hana Chake Hapo,Na Ndio Maana Jamaa Habishi Kuhama!

wakioana huwa ndoa inakuwa worse zaidi!manake kumbuka wote wana watoto na kila mtoto ataona mzazi wake ndo bora na kila mzazi hapo hatataka kumuudhi mwanae matokeo yake hiyo ndoa ni balaa tupu!unaless sijui wacheze vipi karata zao!
 
Wanalala na mtoto wa miaka 7 kitanda kimoja?
ndo shida ya single parent akiamua kudate it is so challenging!upande mmoja hutaki kumuudhi na kumuumiza mwanao,upande mwingine una hisia kama mwanadamu yeyote yule!upande mwingine mtoto anahisi mama yake anaanza kumpotezea yani kuna intruder kwenye maisha ya mama yake na yeye,upande mwingine mupenzi anaamini haupo tayari kwa mahusiano since yur so clinged to the kid na wakati mwingne huwaza hata ur closeness ni kwa sababu the kid anakuremind of his father/or mother basi mradi tu ni vurugu mechi yailahi!
inaumiza kusema ukweli!
 
Uzi huu usongekuwepo ila sababu ya mambo ya uswahilini na umaskini.
 
Kama ni hivyo bac ni vurugu mechi kwakwel!
ndo shida ya single parent akiamua kudate it is so challenging!upande mmoja hutaki kumuudhi na kumuumiza mwanao,upande mwingine una hisia kama mwanadamu yeyote yule!upande mwingine mtoto anahisi mama yake anaanza kumpotezea yani kuna intruder kwenye maisha ya mama yake na yeye,upande mwingine mupenzi anaamini haupo tayari kwa mahusiano since yur so clinged to the kid na wakati mwingne huwaza hata ur closeness ni kwa sababu the kid anakuremind of his father/or mother basi mradi tu ni vurugu mechi yailahi!
inaumiza kusema ukweli!
 
Kama ni hivyo bac ni vurugu mechi kwakwel!

yes it is!
mi nna mifano mingi sana ya rafiki zangu wanashindwa kukeep mahusiano yao kwa sababu ya situation za aina hii!hii ni kwa wote
wanawake na wanaume yani unaweza ukawaonea huruma na watoto nao kama wanajua vile full blackmailing!yani ile mtu anataka kutoka tu mtoto anadai kulala na mamii,anakuja ndo uncle sijui mtoto anaazna vurugu na kilio kwosha kazi badi mradi vurugu sasa umkute mtoto wa kike ile full kumpenda babayake halafu baba ndo alete mdada mupenzi home!ushawahi kuletewa album ya mamii wake mtu wewe!
ushawahi kuimagine mko mezani dogo anapiga dadii the lunch sio yummy yummy kama ile aliyokuwa anapika mamii J (hapo ndo jina la mamake)uuuwih!mbona utatamani unase kibao mtoto wa mtu!
 
wakioana huwa ndoa inakuwa worse zaidi!manake kumbuka wote wana watoto na kila mtoto ataona mzazi wake ndo bora na kila mzazi hapo hatataka kumuudhi mwanae matokeo yake hiyo ndoa ni balaa tupu!unaless sijui wacheze vipi karata zao!

Hapo Umenena...Itakuwa Kama Majirani Wa Nyumba Moja,Mtoto Wa Mwenzie Akimchokonoa Wa Kwake!!?..basi Nyumba Itakosa Maelewano!!
Labda Kama Wana Kauwezo, Watoto Wawapeleke Shule Za Bweni!
 
yes it is!
mi nna mifano mingi sana ya rafiki zangu wanashindwa kukeep mahusiano yao kwa sababu ya situation za aina hii!hii ni kwa wote
wanawake na wanaume yani unaweza ukawaonea huruma na watoto nao kama wanajua vile full blackmailing!yani ile mtu anataka kutoka tu mtoto anadai kulala na mamii,anakuja ndo uncle sijui mtoto anaazna vurugu na kilio kwosha kazi badi mradi vurugu sasa umkute mtoto wa kike ile full kumpenda babayake halafu baba ndo alete mdada mupenzi home!ushawahi kuletewa album ya mamii wake mtu wewe!
ushawahi kuimagine mko mezani dogo anapiga dadii the lunch sio yummy yummy kama ile aliyokuwa anapika mamii J (hapo ndo jina la mamake)uuuwih!mbona utatamani unase kibao mtoto wa mtu!

Inahitaji Uvumilivu Kweli!!
 
Hapo Umenena...Itakuwa Kama Majirani Wa Nyumba Moja,Mtoto Wa Mwenzie Akimchokonoa Wa Kwake!!?..basi Nyumba Itakosa Maelewano!!
Labda Kama Wana Kauwezo, Watoto Wawapeleke Shule Za Bweni!

yani ni issue hata wakienda bweni,tena bora wakikaa pamoja labda wanaweza kuelewana with time lakini hii ya kukutana likizoni tuu!weeh!
 
Vp mamito umewah experienc hii kitu?naona umeidadavua vyema!
yes it is!
mi nna mifano mingi sana ya rafiki zangu wanashindwa kukeep mahusiano yao kwa sababu ya situation za aina hii!hii ni kwa wote
wanawake na wanaume yani unaweza ukawaonea huruma na watoto nao kama wanajua vile full blackmailing!yani ile mtu anataka kutoka tu mtoto anadai kulala na mamii,anakuja ndo uncle sijui mtoto anaazna vurugu na kilio kwosha kazi badi mradi vurugu sasa umkute mtoto wa kike ile full kumpenda babayake halafu baba ndo alete mdada mupenzi home!ushawahi kuletewa album ya mamii wake mtu wewe!
ushawahi kuimagine mko mezani dogo anapiga dadii the lunch sio yummy yummy kama ile aliyokuwa anapika mamii J (hapo ndo jina la mamake)uuuwih!mbona utatamani unase kibao mtoto wa mtu!
 
Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na mazingira inabidi kila wanapotaka kukutana mwanaume aenda kwa mwanamke, sasa jamaa analalamika mwanamke ana mdekeza sana mtoto wake(kike), kila wanapokuwa wamekaa mama na uncle mtoto anatakaa kukaa katikati, na inafikia hadi kulala usiku mtoto anataka kulala katikati (mtoto ni wa umri wa miaka 7 anasikia na anaelewa vyote vinavyoongelewa) mama kwa kuwa hataki kumuudhi mtoto wake anamkubalia vyote anavyotaka, kilachomfanya mpaka akaleta kwenye jamvi hili ni siku moja alienda kulala ilipofika usiku mtoto akalilia kulala na mama yake na uncle atoke, uncle kwa kutotaka asimuudhi demu wake maana mtoto akilia na mama anakuwa hana raha then uncle ikabidi atoke ampishe mtoto na uncle akalala sehemu nyingine. Tutoe ushauri kuhusu haya mahusiano, ushauri uegemee sana kisaikolojia na kimahusiano.

Mbona unakwepesa kwepesa si useme kuwa inakuhusu mwenyewe? utashangaa sasa hao watoto watakapoanza kuitana binamu halafu wapeana nyama ya hamu. kwezi wawazi katika kutengeneza mahusiano.
 
Vp mamito umewah experienc hii kitu?naona umeidadavua vyema!

ahahahhaah hapana mamdogo!
sijawahi kudate a single parent
lakini si unajua tena kazi yetu hii tunaweza kuvaa viatu vya nafasi nyingi za maisha ya watu!
plus kuzungumza na watoto wenyewe unawasikia wanakwambia wht is happening at home!yani kuna kipindi mtoto anagoma kuja shule kisa baba yake asiende kwa auntie ciello kwa mfano!
kesho yake akija ukimuuliza kama anakuturst anakwambia tu jana sikuja shule kwa sababu dadii aliniambia mchana ataenda kwa anti anaumwa so na mi nikamwambia naumwa ili akae tu nyumbani!maadme yu know i hate antie ciello and my dad told me anaataka kumuoa but mum told me she is the reason dadii amemwacha!
wat a hell !basi mtoto ndo shule hakisomeki hakieleweki kisa anapanga mashambulizi antie ciell asiolewe!
 
Back
Top Bottom