Mtoto anaeritadi hatakiwi kubaki nyumbani

Mtoto anaeritadi hatakiwi kubaki nyumbani

Mtoto anaeritadi yaani kutoka uislam kuingia dini nyengine hatakiwi kubaki nyumbani.
Anatakiwa atafute pakukaa.
Huu ndio msimamo wa Uislamu, sio matakwa yangu. Kama umeamua kuwa mwanachama unatakiwa uufuate.
Huu ndio ubazazi sasa,
Kwani mtoto akibadili dini anaacha kuwa mtoto wako??
Upimbi gani huu wa kulazimishana dini karne ya 21!
 
Kwa mindset hizi aisee,
kwamba mtu aliyeritadi anapaswa kuondoka nyumbani, Najiuliza Je, ingekuwaje kama Waislamu wangekuwa wa kwanza kuanzisha au kumiliki shule nyingi bora au vyuo vikuu nchini Tanzania, Je, wakristo au wa Imani zingine wangepata fursa za elimu kwa kiwango kilekile ambacho Waislamu wanapata leo katika taasisi mbalimbali zinazoendeshwa na Wakristo au za wa Imani nyingine?
Mnasema Uislam ni ujamaa.. Ujamaa gani huu?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Uislamu ukikuambia ukaue watu wasio Waislamu au waliomsema vibaya mtume au dini yako utafanya hivyo ili ugeuke kuwa gaidi ??
Uislam haunambii nikaue, uislam unasema ukikua na wewe uuuliwe, ukuzini upigwe mawe au bakora 100, ukiiba ukatwe mkono, ukila rushwa uadhibiwe. Dini nyengine zinasemaje?
 
Kwa mindset hizi aisee,
kwamba mtu aliyeritadi anapaswa kuondoka nyumbani, Najiuliza Je, ingekuwaje kama Waislamu wangekuwa wa kwanza kuanzisha au kumiliki shule nyingi bora au vyuo vikuu nchini Tanzania, Je, wakristo au wa Imani zingine wangepata fursa za elimu kwa kiwango kilekile ambacho Waislamu wanapata leo katika taasisi mbalimbali zinazoendeshwa na Wakristo au za wa Imani nyingine?
Mnasema Uislam ni ujamaa.. Ujamaa gani huu?
Hoja yako sio ya msingi. Uislam sio kama dinj yako, muislam anaamini maisha ni akhera hapa duniani ni mapito tu, kwa hivyo kizuizi chochote kilichopo mbele kitachomuangamiza anatakiwa akiiondoe
 
Uislam hauko hivyo inasikitisha sana usipende kusoma kubali kusomeshwa na utaelewa
Surat Al-Baqarah 2:217
وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ فَأُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ
Maana yake: “Na atakayeritadi miongoni mwenu kutoka katika dini yake, kisha akafa hali ya kuwa kafiri, basi hao amali zao zimeharibika duniani na Akhera.”
Aya hii inaeleza uzito wa kuritadi na matokeo yake mbele ya Allah.
 
Back
Top Bottom