Mtoto aliyepanda ndege kwenda Zanzibar bila kuonekana ametoweka tena

Safi yuko vizuri ana technology kali sana aiseee maybe tunaweza kuitumia kumaliza suala la IPTL
 
Pelekea watumishi wa Mungu kama wana imani atapona kabisa. Ni nguvu zisizo za kawaida hizo. Poleni wazazi.
 
Hapa majini yameingia kazini na wasipoangalia atakuja potea moja kwa moja na asionekane tena watamchukuwa na kumpeleka kusikojulikana kabisa.Huko visiwani alipokimbilia mwanzo inaonekana alikuwa mbioni kupotezwa kusikojulikana.M/Mpamba.
 
Huyu mtoto inawezekana ht Zanzibar hakwenda na ndege...alipanda ungo...aiseee. nimeona ITV...inasikitisha
 
ngoja nisubiri mwisho wa hii picha kitaeleweka tu.kuna mchezo unachezwa hapa hili si tukio la kawaida namshauri hhuyo mama ajisalimishe kwa muumba wake inshaallah yote yatakwisha.
 
Mnataka tusifatilie bunge la katiba na maandamano ya CDM eti kwakuwa we are buyers of events noo no mshindwe
 
Wazazi wake waangalie namna gani wanaweza kunufaika na uwezo wa huyo mtoto. Yaani kutumia fursa. Ukiwa na uwezo wa kutoka sehemu moja na kuibukia sehemu nyingine kimiujiza na maisha yakaendelea in bonge la fursa wajameni. Ni kuangalia tu namna ya kunufaika nayo!
 
pepo hili yaani huyo aje kwa Gwajima tumalize kazi

yukooo kwenye dari la watu anakula pumba sana na damu za watu so sad jamaniii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom